Jikite kwenye mada iliyopo jamvin na upanue wigo mpana wewee.Swali la kitoto kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye mada iliyopo jamvin na upanue wigo mpana wewee.Swali la kitoto kabisa.
uchawi sio imani ya serikaliNdio....
Sadaka na zaka si tu huko nyumba za ibada....
Dola letu la JMT linahitaji sadaka na zaka ya mali na uhai....
Mbele ya Chifu wetu ni lazima tuteketeze sadaka kwa ajili ya baraka ya ardhi....
Yaani awepo chifu mkuu chifu Hangaya halafu tuteketeze sadaka ya "ubwabwa ndondo"?!! [emoji44][emoji44]
Aaaah wapiii
kwahiyo siku hiyo watu wanakutana kula tu?CHAKULA KINAWAWEKA WATU PAMOJA ULIZA MTU YOYOTE NDUGU
Bila Shaka unasemea nyama za dada zetu Mana Mambo Kama hayo niliyakuta Barbados.nyama ni muhimu sana na ni lazima ziliwe haswaaaa kesho,
na bilashaka yoyote faida kwa wafanyabiashara wa vinywaji vikali na baridi lakini pia na huduma nyingine muhimu zitafanyika sana kesho, actually ni kuanzia leo usiku, na zitakua na faida maradufu kwa wana Arusha zaid ya gharama za ng"ombe wote watakaochinjwa![]()
Sio kwamba Atown ng'ombe ni wengi?Nimepiga hesabu ya haraka haraka ng'ombe 200@850,000 =170,000,000
Yaani 170M
Labda kama hizo gharama wamechangia hao wafanya biashara, ila yeye na Ofisi yake ya Mkoa hawana hicho kiasi.
Hapana kigamboni hawezi kupata ubunge, wanasema ni sherehe ya kuponea tundu la sindanoSio anasheherekea maamdalizi ya kugombea jimbo la Kigamboni?
Hakika[emoji7]huwezi kuwaza haya ikiwa fikra zimezongwa na umaskini...
ni lazima kujizatiti hasa katika kuamua na kuthubutu kutekeleza uamuzi mgumu lakini sahihi kwa maslahi mapana ya unao waongoza....
kuna watu wameona nyama tu kwenye event hiyo, kama yule aliehoji pesa zometoka wap?
kumbe alie buni event kaamua kuwekeza milioni mia3 ili wananchi kupitia biashara na huduma za malipo wanazofanya watengeneze blioni 1 na maisha ya wananchi wa Arusha kiuchumi yabadilike![]()
[emoji1787][emoji1787]mnpe dadako au mamako uone kama awezi pia
[emoji1787]Pilipili iwe nyingi kwenye kachumbari
hawa wafanyabiashara wote watakao shiriki Sherehe hiyo wakiamua kufungua biashara Ulaya wanakuwa na Chance ya kukataliwa sababu walipokea zawadi kutoka kwa mwanasiasaKapata wapi Hela?
Hatari sana.[emoji1787]Kwahyo unataka watu wafanye mazungumzo bila kula!? Roho mbaya zimekujaeni nyie waja
....idadi ya watu ni kubwa.kula ndio mpaka iwe ng'ombe 200?
Huna akili...uchawi sio imani ya serikali
tunajua nyie ni wachawi
ila msiifanye imani ya mkoa/taifa zima
hayo matambiko yenu msiyafanye ya kitaifa
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.
“Ng’ombe kama 200 hivi watachinjwa, ni kuchoma nyama tu hakuna ugali wala wali, lakini tumewaita wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Arusha” amesema Makonda
Ametangaza kufanyika kwa sherehe ndogo Agosti 29, 2024 kwa lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara wa Arusha na Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.
Nadhani itakuwa Choma festival, maana Kwa ng'ombe 200 nyama yake sio ya mchezoSio kwamba Atown ng'ombe ni wengi?
Au watanunua itakua kama nyama choma festival?
Kusema kuwa Makonda ni multimillionaire ni wivu au nimetoa wasifu wake? Utakuwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu huku kikiwa kimezama kabisa maungoni mwako bwabwa wewe.acha wivu mtoto wa kiume tafuta hela, vijana wengi wavivu na waliokosa connection wana wivu na makonda ikiwamo wewe
DuhHapana kigamboni hawezi kupata ubunge, wanasema ni sherehe ya kuponea tundu la sindano