RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Hanaga akili huyo dogo. Ni matukio tu hana analowaza. Ukiwa zero brain ni zero brain tu
 
Hyo inaitwa resources mobilisation skill sio lazma pesa siwe zake amaweza akamobilize wafugaji na wafanya biashara ya nyama wakafanya kwa faida yao.
Faida gani kama ,kwa kujinja Moo 200?kwaajili ya hao waandamizi? je wanlipia?
Non sense why aseme makonda?
 
Sherehe ya kuachiwa jimbo Kigamboni
 
Nimepiga hesabu ya haraka haraka ng'ombe 200@850,000 =170,000,000

Yaani 170M

Labda kama hizo gharama wamechangia hao wafanya biashara, ila yeye na Ofisi yake ya Mkoa hawana hicho kiasi.
Eeh yeye si ana mobilize tu. Unadhani kuna ugumu gani ukiwa na mabilionea kibao wa Arusha. Kila kampuni waki Donate 10M tu jambo linaenda vizuri tu maana it will take not more than 20 companies za utalii tu. Hela inakuwa ishapatikana
 
Kampuni ya utalii ina turnover ya zaidi ya billion kwa mwaka watashindwa ku donate million 10 kwa shughuli kama hizo?
 
Nimepiga hesabu ya haraka haraka ng'ombe 200@850,000 =170,000,000

Yaani 170M

Labda kama hizo gharama wamechangia hao wafanya biashara, ila yeye na Ofisi yake ya Mkoa hawana hicho kiasi.
Mama atoe ela za magoli halafu atashindwa kumpa Makonda ela?

Pia atakuwa amepewa pesa za pole kutoka likizo.
 
Nadhani itakuwa Choma festival, maana Kwa ng'ombe 200 nyama yake sio ya mchezo
Matajiri hawali nyama sana na wengine wana visukari so zitakula familia zao😂 kikubwa hamna kubeba. Ule nyama hadi ukufwe 🤣
 
Eeh yeye si ana mobilize tu. Unadhani kuna ugumu gani ukiwa na mabilionea kibao wa Arusha. Kila kampuni waki Donate 10M tu jambo linaenda vizuri tu maana it will take not more than 20 companies za utalii tu. Hela inakuwa ishapatikana
Ni sahihi Mkuu, hapo ni suala la Mahusiano baina ya Ofisi yake ya Mkoa na wadau wa maendeleo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…