Hahaha................hiyo imekaa vizuri, ikiwezekena waweke fungulia goli ili watoto wa uswahili wapige chambi chambiMatajiri hawali nyama sana na wengine wana visukari so zitakula familia zao😂 kikubwa hamna kubeba. Ule nyama hadi ukufwe 🤣
Hahaha lazma atawafungulia wadudu united waje kupasha meno moto😂Hahaha................hiyo imekaa vizuri, ikiwezekena waweke fungulia goli ili watoto wa uswahili wapige chambi chambi
Hahaha..........labda zitoke Ikulu, si unajua huo Mkoa Kuna hati hati Majimbo yakaenda Upinzani mwakani.Mama atoe ela za magoli halafu atashindwa kumpa Makonda ela?
Pia atakuwa amepewa pesa za pole kutoka likizo.
Ngoja nasi Wazee tusogee sogee hayo maeneoHahaha lazma atawafungulia wadudu waje kupasha meno moto😂
Bia hazijatajwa ila kimsingi lazma ziwepoNgoja nasi Wazee tusogee sogee hayo maeneo
Najua Bia zitakwepo kwaajili yetu 😜
Uwe mkuu wa mkoa ambaye unaingia kila ofis, ofsi za mabalozi n.k, halafu ukose pesaKapata wapi Hela?
Wacha nisogee mdo mdo, najua kutoka Babati hadi hapo ni nusu saa tu 🤗Bia hazijatajwa ila kimsingi lazma ziwepo
Location hawajataja lakiniWacha nisogee mdo mdo, najua kutoka Babati hadi hapo ni nusu saa tu 🤗
Awamu ya warsha na sherehe🤣Hatujapumzik tok kizimkaz,😳🫢now tunaelekea aruxha.mwendo wa event t...hata ikitokea yyte yule anamfanyia mtt,mtu mzim,bib/bab event yyte Ile atujulishe cc 2po
Kwahiyo itakuwa mtego huu sio?Location hawajataja lakini
Mwak wa event huuAwamu ya warsha na sherehe🤣
Hlo zigo pia watupiwe wana-yanga wazee wa supuCCM kwa uroho hapo lazima watu kadhaa wakaushwe maini na figo kufeli na changamoto ya kupumua
Hahahahah watasema tu lakini, kama ni uwanja wa Aman Karume pale basi uhakikaKwahiyo itakuwa mtego huu sio?
Ngoja niendelee kusubiri subiri hapa hapa maana mambo ya kwenda Umbali mrefu hivyo halafu nikose Choma Choma itakuwa ni fedheha Kwa Mzee wa Umri wangu 😜
Ikiwa hapo hata Mimi nitaenda, eneo likiwa finyu siwezi kwenda yasije kutokea ya Mwamposa kule Kilimanjaro 😜Hahahahah watasema tu lakini, kama ni uwanja wa Aman Karume pale basi uhakika
Unamuwaza makonda kuliko hata mmeo...Safi sana comred Makonda,natamani kuja kujumuika nawe ila umbali ndo shida