Hiz
Hizo mask za kugawa bure ziko wapi?
Sasa hivi kuna uhaba wa mask duniani kote
halafu sadaka inakuwaje? mtatuua njaaNa kanisani twende na barakoa au
. Tutasalije sasa [emoji23]
Jamani si ibada zisitishwe tu
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikujua kama na wewe ni zuzu kiasi hiki usichokielewa hapo ni nini?"Tatizo bashite uwa hafanikishi jambo"
Na kanisani twende na barakoa au
. Tutasalije sasa [emoji23]
Jamani si ibada zisitishwe tu
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho ni kilele,lazima tujae kumuomba Mungu azuie hili janga ktk inji yetu na dunia.Ukitaka kujua "UKAIDI WA WATANZANIA" kesho kuna viongozi wa dini watapanda madhabahuni kufanya ibada kwenye mikusanyiko mikubwa ya watu.
Huvai mask ili kujikinga na virusi wewe unaevaa, bali unavaa ili kama unaumwa basi utakapokohoa virusi visiende mbali sana hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukiza wengine, hivyo ni muhimu kila mtu avae ili tulindane, umeelewa?Agizo liko vizuri lakini anaelitoa najua hayuko serious na hana uwezo wa kufuatilia kama maagizo yake yote..
Halafu mask za vitambaa utazitumia kuzuia vumbi tu lakini virus inapita kama ilivyo..
Kila mtu mdomo ukimuwasha anaongea chake. Bora rais aje atoe muongozo kama ni lockdown au curfew.
Kuliko huu utoto unao fanywa, mara take away mara kuvaa masendeu!
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaKatika yale mabilioni yaliyochangwa kudhibiti corona wanunue hizo masks wagawe bure kisha ndiyo waje na hayo maamrisho yao.
Day one ilikuwa ni ipi?Yaani mwanaume kamili anaogopa corona...hii ni aibu kwa RC Makonda!
Jack Ma ametoa bure hivi tu eti?
Mnaanza kufanya yaliyokua inabidi yaanze day one!
Ujinga mtupu!Sikuwahi kuwaza kuna siku nitashuhudia Tanzania ambayo kijijini ni salama kuliko Magogoni au makao makuu Dodoma.
Hivi nani inafaa tumlinde zaidi kwa manufaa mapana kama ikitokea hali ikawa mbaya sana kiuchumi? Bakhresa, Mo Dewji au mkulu?
Imekuwa MAGANGA wa kienyeji mashariti kibao ukishindwa moja inakuwa sababu duu hayaInaogopa lawama. Sasa hivi kinachofanyika ni kuwatega wananchi, wanawachanganya kwa kauli zao, hali ikiwa mbaya wawalaumu kuwa hawakutekeleza maagizo waliyopewa.
Hawajiamini hawa watu.
Tumia kanga hio kwenye picha yako kuziba mdomo na pua sio lazima ununue.Atazigawa bure?
Hio tayari kinga tosha, hakikisha umefunika mdomo na pua .Wengine tunavaa hijab mambo ya kujistir 🧕 na midomo tunafunika ninja