Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunahitaji hatua za nchi nzima, sio Dar peke yake ugonjwa umesha enea nchi nzima.....Raisi wangu uko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu embu acha utani basi!! Umeshaangalia speech za trump? au unaleta utani? Siku zote maelekezo yanayohusu korona hata kama atatoa trump lakin lazima dokta aje na yeye aongee, these stupid politicians ndio wametufikisha hapa tulipo!! Last week huyo huyo makonda alisema watu wasikae ndani leo kaja tena na matamko mengine tofauti kabisa na ya last week!! sasa kama sio kuchanganya wananchi ni nini?Hata USA Trump ndiyo aliyosema watu wavae mask za vitambaa
Gavana wa New York pia tunamuona akitoa maelekezo
Vipi tayari umeshaambukizwa corona mkuu?Taratiiiiiiiiiiibu mambo yanazidi kueleweka
hahaha hahaha hahaha khaaa khaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haya mambo ya kuwaambia watu wanywee nyumbani, ukilewa unaweza kumshika beki tatu tako mkeo akiuliza unafanya nini? Unajibu kwani we ndo meneja wa hii bar?
Yuko Chato karantini?Yuko Chato
Kwani nimeongela maambukizi ?Vipi tayari umeshaambukizwa corona mkuu?
jiwe kaingia mitini kitambo..Tunahitaji hatua za nchi nzima, sio Dar peke yake ugonjwa umesha enea nchi nzima.....Raisi wangu uko wapi?
Kipimo cha uwezo wa baba ktk familia ni pale yanapotokea matatizo kwenye familia yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipende dezo.
NdiyoYuko Chato karantini?
Tulia huu Ugonjwa siyo kama unavyofikiri,inawezekana ukawa tayari upo mkoani kwako sema tu vile afya.Mtajiju wa dar
Sisi wa mikoani tupo salama
Na pia tunashauri gari zote zinazotoka dar kuja mikoani zisimame Kwa muda ili wasituletee mikoani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya madaYuko Chato