RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

Hizo daladala au vyombo vya usafiri wanavipiga dawa kabla ya kuoanda abiria?
 
karantini ni hatua ya mwisho
lkn namba moja barakoa
japo wamechelewa kuchukua hatua
lkn sasa watie mkazo
na waweke na adhabu kwa atakae kiuka
agizo la kufunika pua na mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata USA Trump ndiyo aliyosema watu wavae mask za vitambaa
Gavana wa New York pia tunamuona akitoa maelekezo
Mkuu embu acha utani basi!! Umeshaangalia speech za trump? au unaleta utani? Siku zote maelekezo yanayohusu korona hata kama atatoa trump lakin lazima dokta aje na yeye aongee, these stupid politicians ndio wametufikisha hapa tulipo!! Last week huyo huyo makonda alisema watu wasikae ndani leo kaja tena na matamko mengine tofauti kabisa na ya last week!! sasa kama sio kuchanganya wananchi ni nini?
 
Mtajiju wa dar
Sisi wa mikoani tupo salama
Na pia tunashauri gari zote zinazotoka dar kuja mikoani zisimame Kwa muda ili wasituletee mikoani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na tukienda salon tunaacha kichwa kinyolewe alf tutakipitia badae au?
 
Back
Top Bottom