Halihusiani na kusoma mkuu, samahani kama nimekukwazasijasoma kama wewe kiongozi kama vipi naomba unipeleke shule
Kuhusu hilo sina shaka kabisa, mimi poa natamani aendelee kuwepo hadi awamalize hawa watendaji vichomi wanaotutesa sana sisi wananchi, maana akishawamaliza naye anaondoka for good or for worse, until now nasimama na Mh Paul Makondahakuna wa kumtumbua rc paul makonda and he is there to stay
Ukweli na kudhalilisha watu ni vitu viwili tofauti.Ukweli humuweka mtu huru,nadhani ndicho kinachomponya mheshimiwa RC....
Makonda ni kiazi mbatata, hakuna akili kichwani. Huwa anatumika na wana siasa kufanya vurugu tu kwa vile kichwa chake hakina ubongo. Zaidi ya matako makubwa hana kingine cha kuringia.Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Si mpaka awe hai wakati huo.Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Yuko wapi Makonda?, until now nasimama na Mh Paul Makonda
Yuko Gamboshi anapikwa akitoka huko wote mliomchuria mtaipata fresh.Yuko wapi Makonda?
Atachomoa?Yuko Gamboshi anapikwa akitoka huko wote mliomchuria mtaipata fresh.
Makonda ni mifumo tu itamana ila ndio aina ya rais tanzania inataka... mbishi, anayejua katiba imempa nguvu gani, jasiri na asiyeogopa..Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Waziri bila jimboJana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?