RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

hakuna wa kumtumbua rc paul makonda and he is there to stay
Kuhusu hilo sina shaka kabisa, mimi poa natamani aendelee kuwepo hadi awamalize hawa watendaji vichomi wanaotutesa sana sisi wananchi, maana akishawamaliza naye anaondoka for good or for worse, until now nasimama na Mh Paul Makonda
 
Naomba nishauri tu, tutofautishe Uwaziri Mkuu na Ukondakta wa mabasi.
 
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Makonda ni kiazi mbatata, hakuna akili kichwani. Huwa anatumika na wana siasa kufanya vurugu tu kwa vile kichwa chake hakina ubongo. Zaidi ya matako makubwa hana kingine cha kuringia.

Kama ni Uwaziri Mkuu labda wa nyumbani kwako. Huyo pimbi hapo ndiyo mwisho wake. Asubiri tu kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji, utekaji na kujipatia mali isivyo halali
 
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Si mpaka awe hai wakati huo.
 
Makonda ni mifumo tu itamana ila ndio aina ya rais tanzania inataka... mbishi, anayejua katiba imempa nguvu gani, jasiri na asiyeogopa..
 
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Waziri bila jimbo
 
Back
Top Bottom