luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Tunazungumzia wazawa ktk economy yetu wewe unaleta HBR za wageniVitu vingine ni bora ukae kimya km hujui ukweli wake uchumi wa nchi nyingi za kiafrica upo mikonono mwa mweupe nyie weusi bakini kushabikia ukabila tu na baada ya miaka 20 mbele tutaanza kuwakamata na kuwauza kwenye mashamba ya mamba km chakula
Nyie ndio maana mitihani mlikuwa mnafeli[emoji3][emoji3]