RC Mtaka ataka wanafunzi wanaofanya makosa wafukuzwe shule

Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi.

Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo?

Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji mzuri wa fedha

Mtaka: Mwanafunzi mtukutu afukuzwe shule, asichapwe​

View attachment 2559219

Njombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewaagiza wakuu wa shule za Serikali kuwafukuza wanafunzi watukutu badala ya kuwachapa viboko au kuwarudisha nyumbani.

Mtaka alisema hayo alipozungumza na wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Manyunyu, iliyopo Matembwe wilayani Njombe.

Alisema shule si sehemu za watu kufanya mizaha na wazazi wengi wanaheshimu sana shule binafsi lakini za Serikali mambo huwa tofauti.

“Kuna shule za binafsi zikiagiza mwanafunzi aje na nguo mbili wanaenda nazo hizohizo, ukienda na ya tatu unarudishwa, wanakuambia shule hii ni marufuku mtoto kuja na simu ukienda nayo unarudishwa nyumbani, huku kwenye shule zetu za umma tuna mizaha mingi,” alisema.

Mizaha hiyo alisema inasababisha mwanafunzi akifanya vituko na mwalimu akamwadhibu basi mwalimu atajadiliwa hadi kwenye mitandao ya kijamii na polisi watamkamata kuandika maelezo, lakini ujinga huo haufanyiki shule binafsi.

Alisema jamii inapozungumzia maadili ni lazima yasimamiwe na namna ya kuyasimamia ni kuyajenga tangu vijana wakiwa shuleni.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Valentino Hongoli alisema “mwaka jana mheshimiwa Rais alitupatia Sh60 milioni ambazo tulijenga madarasa matatu na ofisi shuleni hapa, kama tusingepewa watoto wangeshindwa kusoma.”

Mkuu wa Sekondari ya Wasichana Manyunyu, Advera Bagoka alisema wanafunzi waliotakiwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu walikuwa 202, ila walioripoti ni 120 na 51 wamebadilisha shule, huku 31 hawajulikani walipo.

“Shule yetu ina uhaba wa walimu wa sayansi na hisabati,” alisema.
Mtaka ana akili sana! Adhabu iliyobakia kwa wanafunzi wenye utovu wa nidhamu ni kufukuza mana wanafunzi wa siku hizi wakipewa adhabu mbadala wanakufa, mbali na hapo kuzipa NGO's na vyombo vya habari umaarufu linapofikia suala la adhabu utafikiri ni kitu kipya.
 
Basi mwambie aanze kuwafukuza kwa kasi ndio atajua nani aliomba kura, yeye au Samia, power belongs to the people
 
Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi.

Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo?

Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji mzuri wa fedha

Mtaka: Mwanafunzi mtukutu afukuzwe shule, asichapwe​

View attachment 2559219

Njombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewaagiza wakuu wa shule za Serikali kuwafukuza wanafunzi watukutu badala ya kuwachapa viboko au kuwarudisha nyumbani.

Mtaka alisema hayo alipozungumza na wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Manyunyu, iliyopo Matembwe wilayani Njombe.

Alisema shule si sehemu za watu kufanya mizaha na wazazi wengi wanaheshimu sana shule binafsi lakini za Serikali mambo huwa tofauti.

“Kuna shule za binafsi zikiagiza mwanafunzi aje na nguo mbili wanaenda nazo hizohizo, ukienda na ya tatu unarudishwa, wanakuambia shule hii ni marufuku mtoto kuja na simu ukienda nayo unarudishwa nyumbani, huku kwenye shule zetu za umma tuna mizaha mingi,” alisema.

Mizaha hiyo alisema inasababisha mwanafunzi akifanya vituko na mwalimu akamwadhibu basi mwalimu atajadiliwa hadi kwenye mitandao ya kijamii na polisi watamkamata kuandika maelezo, lakini ujinga huo haufanyiki shule binafsi.

Alisema jamii inapozungumzia maadili ni lazima yasimamiwe na namna ya kuyasimamia ni kuyajenga tangu vijana wakiwa shuleni.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Valentino Hongoli alisema “mwaka jana mheshimiwa Rais alitupatia Sh60 milioni ambazo tulijenga madarasa matatu na ofisi shuleni hapa, kama tusingepewa watoto wangeshindwa kusoma.”

Mkuu wa Sekondari ya Wasichana Manyunyu, Advera Bagoka alisema wanafunzi waliotakiwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu walikuwa 202, ila walioripoti ni 120 na 51 wamebadilisha shule, huku 31 hawajulikani walipo.

“Shule yetu ina uhaba wa walimu wa sayansi na hisabati,” alisema.
Puumbavu. Kwahiyo hata kama ANAFIRA wenzake aachwe tu asifukuzwe?

Hili Taifa mbona litakuwa na WAJINGA wengi sana?
 
Rais Fukuza huyu keshaota mapembe
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Sasa unakuta mwanafunzi analazimisha kuvuta sigara darasani wakati wa break hiyo imekaaje hasa hapa Temeke secondary?
Oooh hao watoto wa hapo wamepinda kinyama, natamani mleta uzi ajipendekeze kwao wamrushie mavi usoni labda ndo ataamini kwamba kweli shuleni Kuna watoto wamepinda, na wanastahili kufukuzwa shule. Nimesoma Wailes P/School, so watoto wa Temeke nawaelewa mno. In short wengi wao ndo 'panya road' wenyewe.

Halafu kesho huyu huyu mpuuzi mleta mada atakuja kuilalamikia serikali kwa kuibuka upya kwa genge la panya road, huku akisahau malezi yake ya hovyo kama chanzo.
 
Mwingine huyu hapa wa ajabu ajabu! Kweli nchi yetu Ina watu wanao umwa
Sikulaumu kabisa, maana inaonekana umeshazoeshwa ukatili, na bila shaka unalea family kikatili, bakora na matusi kwa wingi, kwangu ni totally different, ni upendo na juu ya upendo
 
Mtaka ni kiongozi mzuri hasa kwenye Maendeleo ya taaluma na elimu bahati mbaya wagogo na warangi ni vichwwa ngum*u. Wangemuelewa angewafikisha mbali kama wale Wanyantuzu wa Bariadi ambao miaka kadhaa nyumba waliokuwa wakiingia Tano Bora kitaifa katika matokeo ya kitaifa.
 
Serikali inatoa kodi kulipia mwanafunzi ada alafu litoto lenyewe unakuta linavuta mabangi na kufanya upuuzi shuleni ikiwemo 'kula witi ana' kwanini lisifukuzwe??
 
Waungwana wamemfukuza mwenye uzi kwa uzi wake haha
 
Siyo bure mleta mada utakuwa unamatatizo ya utindio wa ubongo

kwahyo unataka kusema kwamba, hizo sababu zilizo tajwa hujazielewa kabisa au umeamua kuja kuchangamusha genge?
 
Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi.

Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo?

Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji mzuri wa fedha

Mtaka: Mwanafunzi mtukutu afukuzwe shule, asichapwe​

View attachment 2559219

Njombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewaagiza wakuu wa shule za Serikali kuwafukuza wanafunzi watukutu badala ya kuwachapa viboko au kuwarudisha nyumbani.

Mtaka alisema hayo alipozungumza na wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Manyunyu, iliyopo Matembwe wilayani Njombe.

Alisema shule si sehemu za watu kufanya mizaha na wazazi wengi wanaheshimu sana shule binafsi lakini za Serikali mambo huwa tofauti.

“Kuna shule za binafsi zikiagiza mwanafunzi aje na nguo mbili wanaenda nazo hizohizo, ukienda na ya tatu unarudishwa, wanakuambia shule hii ni marufuku mtoto kuja na simu ukienda nayo unarudishwa nyumbani, huku kwenye shule zetu za umma tuna mizaha mingi,” alisema.

Mizaha hiyo alisema inasababisha mwanafunzi akifanya vituko na mwalimu akamwadhibu basi mwalimu atajadiliwa hadi kwenye mitandao ya kijamii na polisi watamkamata kuandika maelezo, lakini ujinga huo haufanyiki shule binafsi.

Alisema jamii inapozungumzia maadili ni lazima yasimamiwe na namna ya kuyasimamia ni kuyajenga tangu vijana wakiwa shuleni.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Valentino Hongoli alisema “mwaka jana mheshimiwa Rais alitupatia Sh60 milioni ambazo tulijenga madarasa matatu na ofisi shuleni hapa, kama tusingepewa watoto wangeshindwa kusoma.”

Mkuu wa Sekondari ya Wasichana Manyunyu, Advera Bagoka alisema wanafunzi waliotakiwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu walikuwa 202, ila walioripoti ni 120 na 51 wamebadilisha shule, huku 31 hawajulikani walipo.

“Shule yetu ina uhaba wa walimu wa sayansi na hisabati,” alisema.
Sasa udikiteta wa Mtaka uko wapi? Kuelekeza maadili kwa vijana wetu ndo udikiteta? Yaani mtoto akifanya ujinga afukuzwe tu, kama wazazi wana furahia ujinga wa mtoto wao basi waka mfundishe wao, kwani mwalimu akihitaji kurekebisha hiyo mzazi anamvalia della, kama vipi ni heli afukuzwe na asiguswe kwa adhabu yoyote! Naungana na Mtaka 100%
 
Elimu ikifanyiwa siasa za washenzi wa magharibi twafa wamefail wao kwenye maadili ya watoto wao kwa sera zao mbovu wanatuletea huku ndio maana kwao karibu kila siku wanafunzi wao wanatwangana shaba na kuwapoteza maticha wao. Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe yaleeni tu kindez dez.
 
Back
Top Bottom