mpwayungu village pls njoo huku mwalimu mwenzangu, hivi waalimu wa kitanzania wanafeli wapi?,why ubora wa elimu ya Zimbabwe, Botswana ni mkubwa mno kuliko wa kwetu sisi?,why upper class wanasomesha watoto wao western europe (hakuna kufukuzana wala copral punishment),SA,au Zimbos wakati watoto wa walala hoi ndio wasome hapa Mtwivila sec school?,pls POLITICIANS STAY AWAY kwenye mada hii,ninyi ndio mmevuruga foundation ambayo nchi ilitaka kuwa nayo, Makweta commission kuhusu elimu ndio ilitakiwa ituwekee mfumo mzuri wa kielimu nchi hii, yaani muda huu tungekua tunajenga kwenye msingi imara, watoto wangekuwa wanafundishwa coding &programing maana hii ndio future, sisi bado tupo kwenye history ya akina Dr.Livingstone ambayo haitusaidii chochote, mwanafunzi kufukuzwa shule kwangu it's a NO, copral punishment also its a NO