Pre GE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

Pre GE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais hupashwi kufanya utani wa namna hiyo. It gives an impression that you are loose and therefore one in a position to loot can loot!
That was then..., now politicians even presidents can utter some statements which makes you cringe..., Na point yangu kubwa hatuhitaji kwenda kwenye statements hata deeds hazirizishi.... Ukizingatia deeds sio maneno matupu na yanavunja mfupa...
 
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!

View attachment 2994089
Majitu mengine sijui huwa yanatoka wapi aisee. Jitu na akili zake linaongoza watu linasema jipimieni najua mnapata. Kiongozi la hovyo kabisa kuwahi kutokea
 
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!

View attachment 2994089
Mkuu unadhani aliteleza? Sidhani hivyo. Hii ni sera ya awamu hii. Anataka uchaguzi wa 2025 viongozi wote wapigane apate tena hiyo nafasi. Pamoja na nguvu za urais alizonazo, bado ana wasiwasi sana kwa sababu anajua viongozi wengi wa CCM wanajua hana sifa za kuwa rais hata kidogo hivyo anaogopa asigeukwe wakati wa uchaguzi. Kwa kuwaachia namna hiyo anajua wataona ni bora aendelee ili wazidi kula.
 
Hapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi alimaanisha kuwa viongozi wote na watendaji wote kutosheka na kuridhika na mishahara na stahiki zao zilizopo kisheria .na siyo kuanza kuingia tamaa ya kujipatia mapato au pesa haramu kwa njia haramu na zilizo kinyume cha sheria na miiko ya uongozi.
 
Back
Top Bottom