mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
We hupendi kulamba asaliMkuu unadhani aliteleza? Sidhani hivyo. Hii ni sera ya awamu hii. Anataka uchaguzi wa 2025 viongozi wote wapigane apate tena hiyo nafasi. Pamoja na nguvu za urais alizonazo, bado ana wasiwasi sana kwa sababu anajua viongozi wengi wa CCM wanajua hana sifa za kuwa rais hata kidogo hivyo anaogopa asigeukwe wakati wa uchaguzi. Kwa kuwaachia namna hiyo anajua wataona ni bora aendelee ili wazidi kula.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app