Pre GE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

Pre GE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa najiuliza watu walitaka afiche yale yaliyokuwa yakifanyika huko kwa ground ??!
🙄😇
Sasa ndiyo ahalalishe upigaji? Kwamba mawaziri wasioneane wivu maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake? Alishindwa nini kukemea na kuhakikisha tabia hiyo chafu inakoma?
 
Hata Mobutu Seseko aliwahi kutoa kauli kama hii.Huu ndio msiba mkubwa unaotusumbua nchi hii kwa sasa. 'LEADERSHIP VACCUM'
 
Angalia ubora wa barabara ndio utajua alimaanisha, alitania au aliteleza tu.
 
Nadhani hapa siri ilivuja! Huenda kilikuwa kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho taarifa zake huwa hazitolewi nje kwenye Media!
Lakini kama na Yeye anakula kwa Urefu wa Kamba yake anarekebishaje kauri?
Acha wajitafunie tu mema ya nchi yetu!
Hata Yeye aliyakuta atayaacha na Ajaye baada yake atayakuta na Atayaacha!
 
Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    46.1 KB · Views: 1
Hebu fikiria hii kauli mwigulu kaisikia, january, unategemea nini?
 
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!

View attachment 2994089

Dah aiseee....
Ripoti ya CAG itaendelea Kuja kama inavyokujaga kila mwaka...

Vinginevyo walio karibu nae wamshauri abadili approach kuliokoa Taifa Hili..
 
Kwakifupi kabisa, bila unafki...huyu mama hatoshi urais, kabebwa tu na katiba!.
Tuwe wakweli tu - kwani huu upigaji umeanza kwenye awamu yake tu ??!
Akipatikana mkali mkali kidogo anaitwa Dikiteta !!
 
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!

View attachment 2994089
Akiwezesha Katiba mpya bora ikapatikana na uchaguzi ukawa Huru na wa Haki basi atakuwa ameyafuta mapungufu yoootee !! 🙏🙏
Au nasema uongo nduguzanguni ??!
 
Akiwezesha Katiba mpya bora ikapatikana na uchaguzi ukawa Huru na wa Haki basi atakuwa ameyafuta mapungufu yoootee !! 🙏🙏
Au nasema uongo nduguzanguni ??!
Uko sahihi, atafuta kila kitu, maana katiba bora will take care of these
 
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!

View attachment 2994089
Hii kauli ndio inanifanya binafsi nisimuamini kabisa Samia. Alitoa ya moyoni mwake hadharani kwa kusudi au kwa bahati mbaya. Yeye moyoni kwake anakubali watumishi wa umma wale hela ya umma. Bila shaka hata yeye anakula hela ya umma. Kauli kama hiyo haistahili kutolewa na rais yeyote hadharani. Ingekua hizi nchi wanaojidai wnafuata utawala wa sheria angebanwa hadi ajiuzulu. Mara baada ya kauli hiyo watumishi wa umma wakajua mama yuko poa tu mtu kula hela ya umma mradi ujipimie usivimbiwe. Sasa hapo pa kujipimia maana kila kigogo wa umma ana saizi yake ya tumbo. Je yeye ana uwezo kudhibiti kila kigogo wa umma ana kula kiasi gani?
Hakika vigogo wala rushwa na fisadi wanammiminia sana sifa kwamba anawamwagia hela mikoani.:ClapHD:
 
Back
Top Bottom