Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Wote sisi ni watanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa,usifikiri kila mtu ni chawa kama wewe. Bora ungekaa kimya tuHapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi alimaanisha kuwa viongozi wote na watendaji wote kutosheka na kuridhika na mishahara na stahiki zao zilizopo kisheria .na siyo kuanza kuingia tamaa ya kujipatia mapato au pesa haramu kwa njia haramu na zilizo kinyume cha sheria na miiko ya uongozi.