Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Wote sisi ni watanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa,usifikiri kila mtu ni chawa kama wewe. Bora ungekaa kimya tuHapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi alimaanisha kuwa viongozi wote na watendaji wote kutosheka na kuridhika na mishahara na stahiki zao zilizopo kisheria .na siyo kuanza kuingia tamaa ya kujipatia mapato au pesa haramu kwa njia haramu na zilizo kinyume cha sheria na miiko ya uongozi.
Are you sure?Hypocrite
Acha kushupaza shingo yako na kujipumbaza hapa.Wote sisi ni watanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa,usifikiri kila mtu ni chawa kama wewe. Bora ungekaa kimya tu
Wananchi wepi hao unaowazungumizia? Maana ukipita huku mitaani kila mtu anampongeza na kumsifu Rais wetu kwa uchapa kazi wake uliotukuka na wenye kugusa maisha ya watu.Angejua wananchi wanavyomchukia kwa kauli hii asingekuwa anacheka nao.
Rais Samia ndoye chaguo letu mpaka 2030. Ameonyesha uwezo mkubwa wa kiongozi na ndio maana tunampatia muhula wa pili. Amekuwa uchumi kwa uharaka na uchumi wetu unafanya vizuri ukilinganisha na majirani zetu. Amezibiti mfumuko wa bei,amejenga miundombinu mbalimbali na kusogeza huduma karibu na mwananchi pamoja na kujenga uchumi shirikishi ,kwa kuwekeza kwenye sekta zinazogusa maisha ya watanzania wengi kama vile kilimo .ambapo kwa sasa bajeti ya kilimo imefikia Trilioni moja na point.Aisee, Afu afike mpaka 2030,Twafa
Wewe unayetetea kauli za kifisadi ndiye mpumbavu kabisaAcha kushupaza shingo yako na kujipumbaza hapa.
Huna adabu kabisa wewe.huwa unajiandikia tu pasipo staha wala heshima...upuuzi ni Mama Abduli.
..huu ni ushahidi kwamba mawaziri ni mafisadi.
Matusi ni ishara ya kuwa umeishiwa kabisa hoja.Wewe unayetetea kauli za kifisadi ndiye mpumbavu kabisa
Naona kichwani umejaa msongo wa mawazo na kukosa malezi mazuri ya wazazi wako. Hasira zako hakikisha kwako adabu peleka nyumbani kwako huko. Utake usitake watanzania tumeamua kwa wingi wetu na kwa mamillioni kumpeleka Rais Samia Ikulu kwa kishindo hapo mwakani. Kwa hiyo jiandaeMajitu mengine sijui huwa yanatoka wapi aisee. Jitu na akili zake linaongoza watu linasema jipimieni najua mnapata. Kiongozi la hovyo kabisa kuwahi kutokea
Mbona wewe ndiye ulianza kusema mimi najipumbaza au hujui maana ya hilo neno. Matusi unaanza mwenyewe halafu ukijibiwa sawa na upuuzi wako unasema unatukanwa. Au kwa vile wewe ni chawa unayo kinga ya kutusi wengine humu.Matusi ni ishara ya kuwa umeishiwa kabisa hoja.
Wewe hupendi kulamba asali?Tatizo limeanzia hapa,,,hii sio kauli ya kusemwa na kiongozi wa nchi,,hapa ina maana wameruhusiwa ila wasipige sana hela za serikali
Hapa ndipo anapokumbukwa mtangulizi wake
We hupendi kulamba asali?Upuuzi tena???
Kwahiyo mpuuzi ni mama au mtoa mada?
CCM na ufisadi ni sawa na uji na mgonjwaNi kama tu Jiwe na yeye aliwaruhusu wale Yange yange kukusanya hela za kubrashia viatu! Baada ya hapo hali imekuwa ni tete kweli kweli.
We hupendi kulamba asali?Upuuzi gani wakati mamako alichemka hapo, kama una akili timamu...we unaona kauli hiyo ni sawa?!.
We hupendi kulamba asaliNdo mjue kinachoendelea, so pathetic yaan instead of kulaani kitendo cha ubadhilifu wanaambia wasivimbiwe.
Na wote tuseme amenKimtokacho mtu ndicho kiuzajacho moto wake.