We hupendi kulamba asaliMkuu unadhani aliteleza? Sidhani hivyo. Hii ni sera ya awamu hii. Anataka uchaguzi wa 2025 viongozi wote wapigane apate tena hiyo nafasi. Pamoja na nguvu za urais alizonazo, bado ana wasiwasi sana kwa sababu anajua viongozi wengi wa CCM wanajua hana sifa za kuwa rais hata kidogo hivyo anaogopa asigeukwe wakati wa uchaguzi. Kwa kuwaachia namna hiyo anajua wataona ni bora aendelee ili wazidi kula.
We hupendi kulamba asaliKuleni hadi Madeni Mbulula wapo watalipa.
We hupendi kulamba asaliHapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi alimaanisha kuwa viongozi wote na watendaji wote kutosheka na kuridhika na mishahara na stahiki zao zilizopo kisheria .na siyo kuanza kuingia tamaa ya kujipatia mapato au pesa haramu kwa njia haramu na zilizo kinyume cha sheria na miiko ya uongozi.
We hupendi kulamba asaliAngejua wananchi wanavyomchukia kwa kauli hii asingekuwa anacheka nao.
AmenNa wote tuseme amen
Kwani wewe ukiiangalia katiba unaona ni chuma?Kuna Ile nyengine alisema katika Ni kajikitabu tu, wakati katiba ndio ilimuweka madarakani.
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
View attachment 2994089
No, he regreted after his retirement from state house, I stand to be corrected.Mkapa regretted the killings of Zanzibaris during the election when he was contesting for the second term if I am not mistaken!
Bado, Hadi michango ya hela za mwenge zitimie.CHADEMA tayari mmeshachanga milioni 700 ya gari la Lissu?
Kuliko wale waliotuona watz mazoba kwa kulipa wenza wa viongozi? Mfano mama Salma analipwa mafao ya mumewe, ni mbunge, wamepewa Hadi nyumba ya bure!Yaani anawaona wanachadema mabozongo kabisa, ruzuku warambe halafu wachangiwe Tena.
Sasa najiuliza watu walitaka afiche yale yaliyokuwa yakifanyika huko kwa ground ??!kaongea uhalisia ulivo
Sijui ni kitu gani hicho nacho! Maneno ya kusemwa na layman kabisa!Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
View attachment 2994089
Are you?Are you sure?
Huna adabu kabisa wewe.huwa unajiandikia tu pasipo staha wala heshima.
Nyie ni CCM B?Bado, Hadi michango ya hela za mwenge zitimie.
uko sahihi, ni katika kitabu chae cha maisha yakeNo, he regreted after his retirement from state house, I stand to be corrected.
nitafanya hivyoNi vizuri ungeliinukuu kwa kuwa sisi wengine ni viziwi...