Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

RIP Gregoire Kayibanda and your wife Verdiana Mukagatare
 
Baada ya hapo sasa ikawaje story haujaimalizia mkuu,
Mkuu story ni ndefu sana.
Maana hata NGO nyingi zilizofanya investigation.
Walisema kwamba kama kipindi hicho walikuwa watu Zaidi wa 1,000,000. basi watutsi hawawezi zidi 200,000. ina maana kama watutsi hawakuzidi 200,000.
Basi wengine waliosalia ni akinanani??
Kagame yeye na wenzie wanasema walikufa watutsi 1,000,000.
Lakini hapo hapo ukiwahuliza kabla ya genocide watutsi walikuwa wangapi kwa taarifa za rwanda za sasa hivi wanasema hawakuzidi 500,000. Sasa Hao watutsi 1,000,000. Walitoka wapi??

Taarifa za UN na NGO nyingi na z ICTR wanasema watutsi genocide survivors hawazidi 300,000.
Kuna uwongo wengi sana kwa PK.
 
Mkuu dhambi ya Bisesero itamtafuna Kagame na wale makamanda wa RPA mpaka mwisho......Utauaje watu kambini kama unapulizia dawa ya mbu.......Unaizunguka temporary refugees camp na unaanza kumimina risasi.....
 
Baada ya hapo sasa ikawaje story haujaimalizia mkuu,
Mkuu ni story ndefu ukifiatilia sana kuna chief prosecutor wa ICTR wa kwanza ,
Alikuwa na ushahidi wa PK kuangusha ndege ya Juvenile na kushiriki mauaji . Na yeye alisema kuuwawa na Juvenile ndio ilitrigger/ilispark genocide, ulietoa order ndie muhusika mkuu.
Ila alifukuzwa kazi baada ya kujaribu kumshitaki pk ICTR.
 
Yeah namkumbuka
 
Ilikua yoyote wa ukoo wa raisi ni mlengwa so walikua wanajulikana na waliwindwa kama nzi au kumbikumbi ili wauawe....maana ukoo umeoleana jamii zote watusi na wahutu toka enzi na enzi..
 
Mkuu dhambi ya Bisesero itamtafuna Kagame na wale makamanda wa RPA mpaka mwisho......Utauaje watu kambini kama unapulizia dawa ya mbu.......Unaizunguka temporary refugees camp na unaanza kumimina risasi.....
Bila kusahau kibeho massacred by kagame force , more than 4000 hutu civilian massacred , most of them are women, children, elder and sick people.


 
Bila kusahau kibeho massacred by kagame force , more than 4000 hutu civilian massacred , most of them are women, children, elder and sick people.


Bizimungu alimsaliti Juvenal na hakukemea mauaji ya kulipiza kisasi ya Kibeho ambapo watusi walikua wanaua wahutu kwa kulipiza kisasi cha wao kuvamia na intarehamwe wa chama tawala NMRD....
 
Anaog
Anaogopa nn
Tusiyoyajua kuhusu Baba wa Taifa letu

Wapumbavu wenzangu wanaamini alikuwa ni wakala wa CIA sambamba na Keneth Kaunda na walitumika sana kupenyeza watu kule Russia wakijifanya wanafunzi wa Ujamaa lakini kumbe ni majasusi na wakatumika kusaidia kuisambaratisha

pia alitumika ku decolonize Southern of Africa ili Euro izidi kudhoofika …ila haya hayana ushahidi


wanasema alikuwa double Agent ndio sababu alitumwa kuizua Znz isitumbukie kwny Ukomunist, akatumwa kuinyoosha Ureno Kule Msumbiji na Angola hadi wakanyoosha mikono wakakimbia akaingia US kwny migodi na visima vya mafuta


aliigiza haitambui Israel ila Trainers wake wote wamekomazwa Isarel …story za kijinga jinga uswekeni ni nyingi …tuombe uhai tufike na tuyasome ya huyo bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…