Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Muwatie adabu katika lipi hao makafir na wayahudi sheikh?????Maana mpaka leo mayahudi wanawatia adabu maarabu hapo middle east!!!!Kuhusu watu ambao sio waislamu kuwaita MAKAFIR upo sahii sababu hata sisi wabantu tunawaita nyinyi waafrika na wabantu mnaofuata dini za kigeni NYEGEMAInshallah mja wa mnyaaz Mungu
Lazima tuwatie adabu makaafri na mayahudi wafuate aliyotuusia mtume wetu
pesa ndio mambo yote tuTafuta hela upeleke mtoto kemebos mtoto azoee kupanda ndege kutoka dar to bk akiwa mdogo[emoji1787], kubwa kuliko yote div one ni lazima kupata, kula vizuri na kulala pazuri ni lazima.
Am just saying you know[emoji6]
Bas mkazanie tuisheni MkuuWalimu wapo na wanapambana si unajua shule mpya majengo mapya kila kitu kipya, wanaogopa kutoa zero,
Huyu dogo primary kasoma private,
Nina dogo mwingine Alison's private primary na seco ni government shule mpya Mbinga girls,miaka mitatu hawakutoaga zero Wala 4,lkn Sasa ni mazero Kama yote.
kinacho kupa nguvu ya kuandika matusi hapa ni hiyo roho na afiya ulio naya sasa siku ukichukuliwa nafs yako kishi ukafukia tani 7 ya kifusi ndipo utakapo jua uliishi maisha ya kishenzi duniani ukafiriMimi ndio nilifunga mjadala kaka kwa kusema watu wasimshangae papa peke yake bali pia wamshangae na yule kiongozi wa dini anaebusu ndimi na midomo ya wanaume wenzie na kuita hiyo ni suna ya kwenda akhera!!!Papa ni muendelezo tu
Ukimpeleka mtoto wako seminary ambayo ipo chini ya dini/dhehebu yoyote sharti mojawapo ni kufuata taratibu za dini(dhahebu husika)Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
Upo sahii kuniita KAFIR kwa mujibu wa imani yako!!Sababu hata sisi wabantu tunawaita nyinyi waafrika mlioacha dini za babu zenu NYEGEMAkinacho kupa nguvu ya kuandika matusi hapa ni hiyo roho na afiya ulio naya sasa siku ukichukuliwa nafs yako kishi ukafukia tani 7 ya kifusi ndipo utakapo jua uliishi maisha ya kishenzi duniani ukafiri
Hizi seminari za kiislamu matokeo yake ya kila mwaka yanajulikana; acha kuwahadaa watu mkuu. Seminari za kikristo pia matokeo yake yanajulikana kila mwaka.Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
Mkuu kuwa msitaarabu angalao huwezi kutuita wavaa kobazi tafwazalHamna shule hapo bora mtoto hata asisome kuliko kumpeleka shule za wavaakobazi.
dawa ya mwanadamu nikukata roho tu hapa utajitahidi kuvunja heshima za watu hili uifurahishe nafs yako yote hayo yatakoma ukifukiwa kifusi ndipo utakopa jua kuwe wewe ni kafiriMimi nilikua sijazaliwa alikua anawanyonya maswaiba wake nanukuu adithi na aya za vitabu vyake na vya maswaiba wake!!!
Wewe una jambo lako lililopelekea kuanzisha huu uzi. Umeona ukianzisha uzi wa moja kwa moja, mods wataufuta ukaamua kuanzisha uzi kwa staili ya kipekee. Subiri wenyewe watoke msikitini waje kukupa za uso. Unawajua vizuri jinsi wanavyopenda shari. 😀 😀 😀 😀Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
Sawa mimi KAFIR kwa mujibu wa imani yako!!!Na sisi wabantu tunakuita wewe NYEGEMA kwa mujibu wa imani yetu kaka!!dawa ya mwanadamu nikukata roho tu hapa utajitahidi kuvunja heshima za watu hili uifurahishe nafs yako yote hayo yatakoma ukifukiwa kifusi ndipo utakopa jua kuwe wewe ni kafiri
Mmeanza watoto wa seminari🤣🤣🤣🤣🤣Wewe una jambo lako lililopelekea kuanzisha huu uzi. Umeona ukianzisha uzi wa moja kwa moja, mods wataufuta ukaamua kuanzisha uzi kwa staili ya kipekee. Subiri wenyewe watoke msikitini waje kukupa za uso. Unawajua vizuri jinsi wanavyopenda shari. 😀 😀 😀 😀
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
kama utaratibu wao nguruwe ndio kitoeo lazima ufate utalatibu huo kama aukufai usimpeleke mwananao hukoMbona umekaza kwenye nguruwe??
Nimekuambia ni ratiba ya msosi, na half waliosoma hapo wapo huko wanatawa.
kwani ulilazimishwa kumpeleka mwanao hapo?Wewe umesema watoto wetu wa kiislamu hapo peramiho wanalazimishwa kula nguruwe!!!Nipatie uhakika leo hii mkuu wa shule hana kazi hapo"Asituletee ukafir kwa watoto wetu""
Kwa nini wasifuate sheria za shule ikiwa ni Wanafunzi WA hapo?
Mbona Wanafunzi WA Kiislam wakisoma shule za Kikristo wanafuata sheria za shule hizo
Au swali lako limelenga Jambo Gani?
Kwa nini wasifuate sheria za shule ikiwa ni Wanafunzi WA hapo?
Mbona Wanafunzi WA Kiislam wakisoma shule za Kikristo wanafuata sheria za shule hizo
Au swali lako limelenga Jambo Gani?
wewe ulicho kiona kibaya ni nguruwe tu kutoswali je????Na watoto wetu wa kiislamu wanalazimishwa kula nguruwe pia!!!!Hapo peramiho secondary school?????
Hayo ni matokeo ya centre,yupo na Jambo lake Hana lolote,matokeo ya shule husika Kuna 3 moja tu,Kwa nini wasifuate sheria za shule ikiwa ni Wanafunzi WA hapo?
Mbona Wanafunzi WA Kiislam wakisoma shule za Kikristo wanafuata sheria za shule hizo
Au swali lako limelenga Jambo Gani?
Kaka hiyo ni kwa mujibu wa dini gani???? ile waliyoleta waarabu au ile waliyoleta wazungu????????Sisi wabantu dini zetu kimapokeo ni tofauti na zenu kimapokeo ndio maana mnatuita KAFIR na sisi tunawaita NYEGEMAMimi ni shekh ila mdudu natafuna hata wewe shekh wangu ukionja mdudu huwezi acha
Kuswali ni lazima shekh tutaionaje pepo km hatukuswali
Tutaionaje pepo km hatukuoa wake wanne
Tutaionaje pepo kama hatujaenda maka kumtwanga shetwani mawe
hakika wanatajitoa fahamu tuYeah kila pahala na Sheria zake,najua hata nawe mtu akija kuishi kwako pia afuate Sheria zako.