Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

Eti TRC ifutwe kwa kuwa inapata hasara kwani kuna mshindani mwingine kwenye biashara ya Reli.
Ili TRC, SGR,MGR zipate faida yatakiwa ibebe mizigo.
Kama haibebi mizigo usitegemee kuiona ikifaidika.

Wakisema wabebe mizigo njiani watu wanaiba mizigo au wanatoa taruma moja mizigo inapotea, shirika linalipa
 
Samia great thinker........
No. Masuala mengi alikuwa "anaomba" yafanyiwe kazi. Raisi hatakiwi "kuomba". Anatakiwa kuagiza yafanyiwe kazi. Angefuata mfano wa Mzee Magufuli, ni amri tu. Hawa kina halmashauri ukiwaomba wafanye kitu hawafanyi, ndio sababu kila mwaka makosa ni yale yale kwa halmashauri zilezile.
 
Sasa viongozi wote Wana biashara za ma bus na Malori, wwe unategemea TRC itaachwa kuhujumiwa! Magu alitaka kukomesha hizi hujuma kwa mashirika ya Umma wengine wakamuona Kama mnoko! Sasa twendeni na mwendo mnaotaka tutafika tu na wala msijali!!
Ni rahisi waweke sheria kali tu wanaweza
 
Unamuunga mkono haaya mashirika yafutwekwa kuwa tumesindwa kuyaendesha? Mashirika haya yapo chinj ya wizara, Kama mashirika tumeshindwa hata wizara pia tumeshindwa kwann nazo tusizifute?
Hapana havihusiani maana unaweza kuta katika hio wizara kuna mashirika mengine yanafanya vizuri.... inawezekna wewe ni mtumishi humo usijali utahamishwa taasisi hutofukuzwa kazi
 
Wewe umetoa wapi hizo hasara maana leo tanesco hajatajwa kabisa
Mbona nimekueleza vizuri tu kuwa Tanesco waliuza madeni yao kwa serikali. Au hujui hasara inapatikanaje?

Tanesco walikua na deni la zaidi ya trilioni 2, Kama hili deni lisingehamishiwa kwa serikali ni napatao yapo ya Tanesco yangeweza kufunika hilo deni? Sababu za kuhamishiaa deni serikalini ni ili kuweka vitabu vyao vizuri na waweze kukopa wao kama wao
 
Hana ''kichwa'' cha kuweza kujisimamia chenyewe. Japokuwa sikatai akubali ushauri lakini kuna mambio mengine hata kwa common sense ya mwenyekiti wa kijiji ni upumbavu kukubaliana nayo.
Ukikubali kila ushauri basi jua unapotea. Ndio maana ilikua rahisi tu kwa waziri kwenda kwake na kumueleza anataka trilioni 11 ili kubadilisha mfumo wa usambazaji umeme.
 
Target ni hapa TRC, ATCL lazima miradi ya hayati ipukutishwe
TRC isifutwe bali atafutwe mwendeshaji, ikiwezekana kampuni ya nje ya nchi. Watumishi wa Serikali jawana kabisa weledi wa biashara au uchumi.
 
Back
Top Bottom