RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

Kitu ambacho mmeshindwa kung'amua hapa ni kuwa huu sio upigaji. Hapo umeeleza kabisa matumizi ya hizo pesa kuwa zilitumika kununua magari, nyumba na kufanyia shughuli nyingine za chama.

Maana yake hizo hela zipo accountable for.

Kosa hapo ni baraza kuu la chama kutohusishwa lakini hakuna hela iliyopigwa, yote imetumika kwa manufaa ya chama.

MATAGA mnahangaika sana.
 
Ndio maana mwenyekiti kajichimbia Dubai anakula kuku, huku akiwaacha wapambe wake wakichanika midomo kujaribu kuutetea ufisadi wake. Ukiweza kutembea na akili za nyumbu wa ufipa mfukoni kama mwenyekiti ni raha sana
 
Sasa kamanda kama baraza kuu halikujurishwa hata hizo mali zitakuwepo? Hapo ni upigaji wa hali ya juu.
 
Kwa hiyo yuko dubai na akili zao.
 
Sasa kamanda kama baraza kuu halikujurishwa hata hizo mali zitakuwepo? Hapo ni upigaji wa hali ya juu.
The funds are accountable for kwa kuwa vimetajwa vilivyonunuliwa na hayo matumizi mengine.

Hivi maccm shuleni mlisomea ujinga au?
 
Hahaaa kumbe huko pia kuna upigaji!!!
 
Kama zile zilizotumika kujenga mahospital, shule, kujenga na kuboresha viwanja vya ndege, barabara za juu na chini, stend za kisasa bila kusahau na hii mpya ya mbezi, bwawa la Nyerere na mengine mengi mazuri ambayo naamini yanafahamika na kuonekana
 
Kama baraza halikuhusishwa, tutajuaje "there is value for money". Hayo magari matano sijui ni mgari gani na ni mapya au used. Je, ilitangazwa tenda ya manunuzi au ni mjanja mmopja alipatana na wauzaji kwa bei ya kuruka na tofauti ikaingia mfukoni kwa katibu mkuu na mwenyekiti.
 
Hii nchi kila kona ni wizi mtupu!
Wizi ni matokeo ya ubinafsi. Binadamu woooote, na mimi nikiwa mmoja wapo, wana mentality ya ubinafsi ndio maana hata ukimnunulia mtoto wako baiskweli au mdoli baada ya masaa kadhaa ukimuomba kwa masihara atakataa kukupa ilhali pesa ya kununulia ulitoa wewe mwenyewe.
 
Kama zile zilizotumika kujenga mahospital, shule, kujenga na kuboresha viwanja vya ndege, barabara za juu na chini, stend za kisasa bila kusahau na hii mpya ya mbezi, bwawa la Nyerere na mengine mengi mazuri ambayo naamini yanafahamika na kuonekana
Soma report ya CAG vizuri. Miradi mingi imetumia fedha nyingi kuliko ilivyoainishwa kwenye budget.

Hizo pesa za ziada zilienda wapi?
 
Rudisheni hela za wananchi mataga.
 
Mkuu mimi nilijua chama kimekufa kama fisiemu walivyokuwa wanasema, kumbe bado kinawapa kiwewe[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kineumana meku chadema ni wezi wa mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…