RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

Mbona wewe ndio mwenye akili ndogo!

Yani unatetea ujinga kisa kafanya boss wa chama chako?

Utofauti wa ccm na hilo chama lenu ni upi sasa?
 
Naona kuna watu wanashangilia, wizi ni wizi tu......iwe Chauma, Cuf, CCM.........sasa wizi wa Chadema ni wizi kama wizi mwingine tu
 
Mbona wewe ndio mwenye akili ndogo!

Yani unatetea ujinga kisa kafanya boss wa chama chako?

Utofauti wa ccm na hilo chama lenu ni upi sasa?
Ona ulivyo mpumbavu! Yaani Hadi Leo hujui tofauti na mfanano wa ccm na CDM? Toka huko idegenda uje angalau kihesamgagao walikopungua funza!
 
Huyo Fisadi alitokea wapi?
Unaniuliza mie tena mkuu hilo swali wa kumuuliza ni Lissu maana ndio aliyetuambia kuwa huyo jamaa ni fisadi ila baada ya kupiga mpunga wa mzee wa watu et Lissu anatuambia kama Lowassa fisadi mbona hajapelekwa mahakamani? Dah! huwa inaniuma hadi leo hii.
 
Lissu huyo hyuo alisema Raisi kafa kwa hiyo aliyatoa wapi je alikuwa sahihi?
 
Haya na upinzani nao umeingia kwenye kitanzi cha CAG

Bado wana CCM mtasema ripoti ya CAG ni batili?
 
Nchi ya majambazi hii,
Sjui Lisu amshutumu Nani kwanza na amalizie Kwa nani
 
Kumbe walinunua si kwamba walisema watanunua wakaacha, walinunua, okay CCM hata haijatumia , ni kuibaaa
 
Halafu wafuasi wake wanarukaruka humu kumsema vibaya Dk. Kigwangalla. Kwani wana tofauti gani?
 
CAG kawa mchungu sasa....
 
Magari 5 ya CHADEMA ............................................................................................ sh. 227M
Gari 1 la Mkurugenzi wa Halmashauri aliyesamehewa na JPM ...................... sh. 400M
Kwahiyo wizi wa Chadema ni afadhali?
 
Watanzania wacha tusimame Kati Kwa Kati,

Chadema hatuwataki na Ndugai hatumtaki
 
CHADEMA viongozi wake ni Malaika hawakosei,hata mwaka jana kilipata hati chafu.Humu JF ukithubutu kuikosoa CHADEMA watakuandama na kuingia mpaka PM kukutukana (yalishanikuta).

Ikiwa unakosa uamnifu kwa maswala madogo,je utakiwa muaminifu kwa mambo makubwa?

Ngojea tumpongeze Malaika Mbowe,aliye pokea kijiti kutoka kwa mkwe wake.
 
Hati chafu mwaka jana? Upo serious? Unaweza kuthibitisha huu uongo wako?

Then hapo hakuna pesa imeibwa bali imetumika ila tu hakuna kikao kilikaa kuidhinisha meaning ni bureaucracy tu hazikufuatwa ila bidhaa imenunuliwa na risiti zipo otherwise angetoa hati yenye mashaka.
 

sio ripoti ya kushangaza sana maaana mbowe tushamsema sana uku tukaonekana wanoko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…