Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Una moyo sana kupambana kuhalalisha haya ya awamu ya tanoNipambanie nini?
Kuna mwaka ambao CAG hajawahi kuleta haya mambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una moyo sana kupambana kuhalalisha haya ya awamu ya tanoNipambanie nini?
Kuna mwaka ambao CAG hajawahi kuleta haya mambo?
Kama wewe ulivyo na moyo wa kuchafua kila kilichofanyika awamu ya tanoUna moyo sana kupambana kuhalalisha haya ya awamu ya tano
Li mungu lako lilikua jizi lingefufuka tungelinyongaUnashangaza wewe usiyejua ukaguzi lazima uje na matokeo
Inabidi upambane sana. Image ya mwendazake inachafuka kwa kasi ya mwanga
Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha, je Fedha hizi ziliibiwa zilipelekwa nchi gani,au bank gani ? Kwà sababu kwenye mabank hakuna fedha na mitaani hakuna fedha. Je aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha ,Doto James kwanini asilale kwanza segerea uçhunguzi ukiwa unaendeleaje?
1. Si mimi ninayeichafua awamu ya tano, ni ripoti ya CAGKama wewe ulivyo na moyo wa kuchafua kila kilichofanyika awamu ya tano
Mbona haya madudu yanaonekana ni mengi awamu ya tano kuliko hata wakati wa awamu ya nne tuliyodhani ni awamu ya upigaji .....!!
Li mungu lako lilikua jizi lingefufuka tungelinyonga
wanyonge hawaamini wanachokisikiaAlikuwa mtu mwema sana
Alikuwa na upendo sana
Aliwajali wanyonge wote
Hakubagua watu kwa imani zao wala mitazamo yao
Alipendwa sana na watu wote
Hakuwa fisadi
Hakuwa mwizi
Hakuwa mbinafsi
Hakuwa na kiburi
Alikuwa shujaa wa Africa
Msiba wake ulifuatiliwa na watu billion NNE na ushee duniani kote
Mwendazake kafa lakini hataoza, na hata akiona hatanuka na akinuka atanukia marashi
1. Si mimi ninayeichafua awamu ya tano, ni ripoti ya CAG
2. Si kila kilichofanyika katika awamu ya tano, madudu yametajwa kila moja kwenye eneo lake
1. Natamani taarifa ile ungeichambua ukaweka hayo madudu moja baada ya lingine tukayajadili hapa.Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA yanatisha na kutia kinyaa.
Madudu ya MTETEZI WA WANYONGE Yanatia hasira sana.
Chukulia hili moja BILIONI 3.9 kwenye matengenezo ya ndege moja ambayo HAIKUFAA![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Upinzani uliwahi kusema upigaji wa awamu hii utavunja rekodi, watu wakabeza sana. Lakini wakati ni hakimu mzuri. Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi. Mahakama ya mafisadi inaweza kuanzia pale kwenye nyumba ya milele ya mwendaAzakwe marehemu hayati.
Huu uozo uliendelea kuwekwa wazi peupe hivi tusishangae kuona siku moja marehemu akalikimbia kaburi lake. N itokee kuna kitu kinaitwa maandamano kifanyike[emoji848][emoji848][emoji848] Bila udhibiti imara si ajabu kuwakuta waandamanaji wakilicharaza bakora kaburi la shujaa wa Afrika na kuipopoa mawe picha yake.
Baada ya kusomwa hii ripoti, masikio yote yako kwa Bimkubwa. Je, atasemaje? Watu wamefura kwa hasira. I hope hatawazingua
Mahabusu ziandaliwe za kutosha sasa. Ni zamu ya kubadilisha wapangaji. Karibia kila wizara ina vimeo vya kutisha.
Alichofanya Mungu kwa Watanzania ni SUPER SUB...Mungu anaipenda sana Tanzania
Sio kuzisikia tu, na kushiriki kuziandaaUlishawahi sikia report zingine za CAG au hii ndio ya kwanza?
Tuwekee hapa walau 2 tuu tupate ground ya huu mjadalaSio kuzisikia tu, na kushiriki kuziandaa
Kigogo2014 alikuwa na Project yake ya Kunya juu ya kaburi! Ngoja nikamuulize amefikia wapiMagu aamshwe aeleze kwaa nini alitudanganya
Una kinyez..usoniAibu kubwa majizi yameiba moja limekufa