Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona alikuwa anatuadaa kwamba hakuna wizi?

Ripoti ya CAG wetu imejikita zaidi kuona kama sheria zilifuatwa? Hata kama hakuna Fedha iliyokwapuliwa lakini akabaini sheria imekiukwa basi yeye anachokuja nacho nikuonyesha serikali imepata hasara Jambo amabalo naamini limekuwa likipotosha umma wa Watanzania.

Mfano Kuna hoja unaona anasema mfumo ulipata itilafu na mifumo Mingine ikatumika kutoa Huduma,Kwake yeye anataka kusema tayari ni ubadhirifu wakati miundombinu Yetu inafahamika wazi kwamba Taifa halina reliable network,electricity nk. Sasa yeye badala ya kuibua ubovu wa miundombinu anakwenda kuangalia waliohudumiwa nje ya mfumo anasema serikali imepata hasara. Hoja za Haina hii haziwezi kumwajibisga mtu maana hazina evidence ni mtumishi Gani au Watumishi Gani walikwapua hizo Fedha?

Mfano mwingine kwenye ujenzi naona anacholeza nikukiukwa Kwa sheria ya manunuzi ambayo sheria Hiyo imepigiwa kelele Sana; ripoti yake inaonekana inawahukumu wale ambao waliona sheria unaleta urasimu wakaamua kufanya kazi speed nje ya sheria kurahisisha ujenzi au manunuzi.

Kwa aina hii ya riport ambayo imeandikwa ikiwa na dhima ya non compliance lakini ikahitimishwa na kiasi Cha ubadhirifu ni dhahiri kila mwaka tutaona anasema Kuna wizi wa mabilioni lakini hakuna wakuchukuliwa hatua Kwa sababu inashindwa kutofautisha wizi ( fedha kuingia mifukoni) na non compliance ( kutumia fedha Kwa KAZI iliyopangwa au kubadili matumizi bila kuweka fedha mfukoni).

Hii ripoti Kila mmoja serikalini ataipuuza Kwa sababu imechafua taasisi Kwa kuonyesha Kuna wizi kumbe ukweli ni watendaji kutozingatia sheria.

Maeneo mengi hakuna wizi Kuna ukiukwaji wa sheria.
Si jukumu la CAG kuzungumzia na kukagua miundombinu kama internet nk bali zaidi kuhusu fedha vs matumizi kusudiwa.
 
Hivi wewe watu wasipofuata sheria ya manunuzi na wakanunua kitu cha mabilioni bila stakabadhi wewe utawaweka kundi gani!...??
 
Kutofuata taratibu au sheria kunaweza kuwa ni kiashiria cha wizi, uzembe au taratibu ngumu.

Kwa mfano sheria ya manunuzi inasema kuwa manunuzi yote ni lazima kuwe na stakabadhi. Kutokuwepo stakabadhi kunaweza kuashiria wizi, kwa sababu hatujui kilichotajwa kununuliwa kama kilinunuliwa, na kama kilinunuliwa, hakuna uthibitisho wa bei na kiasi kilichonunuliwa. Aliyefanya manunuzi hayo yasiyo na uthibitisho atachukuliwa hatua kama mwizi maana ameshindwa kuthibitisha kama kulikuwa na manunuzi kwa utaratibu uliowekwa.

Kwa taratibu za manunuzi, kama hakuma risiti ina maana hakuna manunuzi, na kama hakuna manunuzi, hela iliyotajwa kwamba imefanya manunuzi maana yake imeibiwa. Japo yawezekana haikuibiwa, lakini ndiyo taratibu zilizowekwa na kukubalika.
Kwanini manunuzi yakose risiti? Au umenunua katika duka lako mwenyewe?
 
Mkaguzi awezi laumu mfumo kuharibika tu kama sababu ya wizi.

Ataangalia variance ya makusanyo mfumo unapokuwepo na usipokuwepo.

Kama mapato hayana tofauti atakwambia kuna mwanya wa ubadhirifu mfumo ukiwa kama control measure ya kupunguza wizi usipofanya kazi.

Kama mapato yameshuka atakwambia mfumo kutokufanya kazi unasababisha upotevu wa mapato.

Awajiandikii tu opinion inaenda na evidence; be it huyu CAG anaonekana anafanya siasa anapowasilisha hoja kushinda kufuata proffesionalism ni mtu ovyo kweli kweli.
 
Uko sahihi kabisa mkuu ingawa wengi hawawezi kukuelewa,kwanza mauditor wengine hawajui vzr operations za taasisi wanazozikagua,so wanatumia nadharia au by the book sana kiasi hata kama ataona mradi umefanyika na unaonekana kitendo cha kukosa uthibitisho wa documents flaniflani wanastate fedha kiasi flani hazijulikani zimekwenda wapi!,sasa inapokuja masikioni mwa wananchi na likarembwa na wanasiasa inaonekana kuna upigaji.Kuna haja ya wananchi kueleweshwa taarifa za CAG huwa zinamaanisha nini.
Kwahiyo watu wanajifanyia tu wanavyotaka.Shamba la bibi sio.
 
Akikosa tu risiti basi ni ubadhirifu. Si ajabu hata zile 1.5 T tunazomshutumu mwenda zake sio kuwa alitia mfukoni ni alinunua vitu nje ya utaratibu
Sasa bila risiti unadhitisha vipi hayo matumizi??
Hivi sheria za manunuzi mnazifahamu kweli?
Ndiyo maana mnanunuliwa pikipiki moja kwa million 11 alafu mnachekelea.
 
Sasa kama sheria ina shida, na inaleta huo "urasimu" kwanini serikali haibadilishi? Kama tumeweka utaratibu wa kisehria, maana yake kulikuwa na sababu. Tumeweka sheria za manunuzi kwa sababu, mtu akiamua kwa "nia njema" yake kuchepuka, tunapimaji hiyo nia njema? Imagine sheria ya manunuzi inasema, kuwe na ushindani, wewe unaona hiyo inapoteza muda, unaamua kumfuata Baba George ndio afanye hiyo kazi, nani anajua huyo Baba George ana uhusiano gani na wewe?

Usimlaumu CAG anaposema kuna wizi, chochote kilichofanyika nje ya utaratibu ni wizi.
 
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona alikuwa anatuadaa kwamba hakuna wizi?

Ripoti ya CAG wetu imejikita zaidi kuona kama sheria zilifuatwa? Hata kama hakuna Fedha iliyokwapuliwa lakini akabaini sheria imekiukwa basi yeye anachokuja nacho nikuonyesha serikali imepata hasara Jambo amabalo naamini limekuwa likipotosha umma wa Watanzania.

Mfano Kuna hoja unaona anasema mfumo ulipata itilafu na mifumo Mingine ikatumika kutoa Huduma,Kwake yeye anataka kusema tayari ni ubadhirifu wakati miundombinu Yetu inafahamika wazi kwamba Taifa halina reliable network,electricity nk. Sasa yeye badala ya kuibua ubovu wa miundombinu anakwenda kuangalia waliohudumiwa nje ya mfumo anasema serikali imepata hasara. Hoja za Haina hii haziwezi kumwajibisga mtu maana hazina evidence ni mtumishi Gani au Watumishi Gani walikwapua hizo Fedha?

Mfano mwingine kwenye ujenzi naona anacholeza nikukiukwa Kwa sheria ya manunuzi ambayo sheria Hiyo imepigiwa kelele Sana; ripoti yake inaonekana inawahukumu wale ambao waliona sheria unaleta urasimu wakaamua kufanya kazi speed nje ya sheria kurahisisha ujenzi au manunuzi.

Kwa aina hii ya riport ambayo imeandikwa ikiwa na dhima ya non compliance lakini ikahitimishwa na kiasi Cha ubadhirifu ni dhahiri kila mwaka tutaona anasema Kuna wizi wa mabilioni lakini hakuna wakuchukuliwa hatua Kwa sababu inashindwa kutofautisha wizi ( fedha kuingia mifukoni) na non compliance ( kutumia fedha Kwa KAZI iliyopangwa au kubadili matumizi bila kuweka fedha mfukoni).

Hii ripoti Kila mmoja serikalini ataipuuza Kwa sababu imechafua taasisi Kwa kuonyesha Kuna wizi kumbe ukweli ni watendaji kutozingatia sheria.

Maeneo mengi hakuna wizi Kuna ukiukwaji wa sheria.
Mnufaika kwenye moja ya upigaji unaonekanautaweza peke yako kutuaminisha utakavyo?
 
Hiyo imepigiwa kelele Sana; ripoti yake inaonekana inawahukumu wale ambao waliona sheria unaleta urasimu wakaamua kufanya kazi speed nje ya sheria kurahisisha ujenzi au manunuzi.
Kwa hiyo kwako wewe kununua mashine yenye thamani ya sh. 36 bil kwenye soko kwa sh. 105 bil ni sawa ama pikipi 68 kwa sh 700 bil+ ni sawa na wewe unajiita ni mtetezi watanzania!
 
Sasa kama hakuna risiti si ndo kichaka cha upigaji wenyewe. unataka CAG athibitishe mradi kufanyika kwa macho tu bila evidence ya risiti ili ajue sh ngapi imetumika?
 
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona alikuwa anatuadaa kwamba hakuna wizi?

Ripoti ya CAG wetu imejikita zaidi kuona kama sheria zilifuatwa? Hata kama hakuna Fedha iliyokwapuliwa lakini akabaini sheria imekiukwa basi yeye anachokuja nacho nikuonyesha serikali imepata hasara Jambo amabalo naamini limekuwa likipotosha umma wa Watanzania.

Mfano Kuna hoja unaona anasema mfumo ulipata itilafu na mifumo Mingine ikatumika kutoa Huduma,Kwake yeye anataka kusema tayari ni ubadhirifu wakati miundombinu Yetu inafahamika wazi kwamba Taifa halina reliable network,electricity nk. Sasa yeye badala ya kuibua ubovu wa miundombinu anakwenda kuangalia waliohudumiwa nje ya mfumo anasema serikali imepata hasara. Hoja za Haina hii haziwezi kumwajibisga mtu maana hazina evidence ni mtumishi Gani au Watumishi Gani walikwapua hizo Fedha?

Mfano mwingine kwenye ujenzi naona anacholeza nikukiukwa Kwa sheria ya manunuzi ambayo sheria Hiyo imepigiwa kelele Sana; ripoti yake inaonekana inawahukumu wale ambao waliona sheria unaleta urasimu wakaamua kufanya kazi speed nje ya sheria kurahisisha ujenzi au manunuzi.

Kwa aina hii ya riport ambayo imeandikwa ikiwa na dhima ya non compliance lakini ikahitimishwa na kiasi Cha ubadhirifu ni dhahiri kila mwaka tutaona anasema Kuna wizi wa mabilioni lakini hakuna wakuchukuliwa hatua Kwa sababu inashindwa kutofautisha wizi ( fedha kuingia mifukoni) na non compliance ( kutumia fedha Kwa KAZI iliyopangwa au kubadili matumizi bila kuweka fedha mfukoni).

Hii ripoti Kila mmoja serikalini ataipuuza Kwa sababu imechafua taasisi Kwa kuonyesha Kuna wizi kumbe ukweli ni watendaji kutozingatia sheria.

Maeneo mengi hakuna wizi Kuna ukiukwaji wa sheria.
Beatrice Kamugisha umepatia kabisa, Kichere anakazi sana ya kupigania uhai wake maana upande wa hao waliomtuma hawatapenda ijulikane waliomtuma na upande wa aliowachafua wapo serikalini na ndiyo huyo waziri mkuu, na rais ambao ndiyo walikuwa moja ya wasimamizi wa huo uozo maana yake wangependa wampoteze kupoteza ushahidi. Yaani CAG kazi anayo! Ripoti ya ni 100% kabumba kwa kutumia kigezo cha not only non compliance bali wakati mwingine inaonekana vingine walijifungia na kuandika wanachotaka kiwe. Ni aibu sana na hii laana haitawaacha salama. Kinachoumiza tu ni Bwana Kichere bado mdogo sana ki umri, alipaswa aachie ngazi tangu alipoambiwa afumue ripoti ya kwanza kumchafua Dkt Magufuli.
 
Enzi za JPM wengi walidai ripoti anaipanga yeye, hivyo awamu hii hilo linawezekana mara dufu ili kulaghai wananchi waone mafisadi waliorudi hawana kosa.
 
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona alikuwa anatuadaa kwamba hakuna wizi?

Ripoti ya CAG wetu imejikita zaidi kuona kama sheria zilifuatwa? Hata kama hakuna Fedha iliyokwapuliwa lakini akabaini sheria imekiukwa basi yeye anachokuja nacho nikuonyesha serikali imepata hasara Jambo amabalo naamini limekuwa likipotosha umma wa Watanzania.

Mfano Kuna hoja unaona anasema mfumo ulipata itilafu na mifumo Mingine ikatumika kutoa Huduma,Kwake yeye anataka kusema tayari ni ubadhirifu wakati miundombinu Yetu inafahamika wazi kwamba Taifa halina reliable network,electricity nk. Sasa yeye badala ya kuibua ubovu wa miundombinu anakwenda kuangalia waliohudumiwa nje ya mfumo anasema serikali imepata hasara. Hoja za Haina hii haziwezi kumwajibisga mtu maana hazina evidence ni mtumishi Gani au Watumishi Gani walikwapua hizo Fedha?

Mfano mwingine kwenye ujenzi naona anacholeza nikukiukwa Kwa sheria ya manunuzi ambayo sheria Hiyo imepigiwa kelele Sana; ripoti yake inaonekana inawahukumu wale ambao waliona sheria unaleta urasimu wakaamua kufanya kazi speed nje ya sheria kurahisisha ujenzi au manunuzi.

Kwa aina hii ya riport ambayo imeandikwa ikiwa na dhima ya non compliance lakini ikahitimishwa na kiasi Cha ubadhirifu ni dhahiri kila mwaka tutaona anasema Kuna wizi wa mabilioni lakini hakuna wakuchukuliwa hatua Kwa sababu inashindwa kutofautisha wizi ( fedha kuingia mifukoni) na non compliance ( kutumia fedha Kwa KAZI iliyopangwa au kubadili matumizi bila kuweka fedha mfukoni).

Hii ripoti Kila mmoja serikalini ataipuuza Kwa sababu imechafua taasisi Kwa kuonyesha Kuna wizi kumbe ukweli ni watendaji kutozingatia sheria.

Maeneo mengi hakuna wizi Kuna ukiukwaji wa sheria.

Huyu Tindo jana kanitukana matusi ya aina yote. Nikawa namuambia wizi ni tofauti na kutofuata utaratibu. Mkiwa mnasoma audit reports muwe mnatulia sana ili mziele. Maana kuna lugha zao ambazo watu wengi wa kawaida hawawezi kuzielewa. Mfano wenyewe wakisema qualified na unqualified zina maana ambayo ni kinyume na uelewa wa kawaida wa maneno hayo.
 
Akikosa tu risiti basi ni ubadhirifu. Si ajabu hata zile 1.5 T tunazomshutumu mwenda zake sio kuwa alitia mfukoni ni alinunua vitu nje ya utaratibu

Ule haukuwa wizi, bali ilikuwa matumizi ambayo hayakufuata utaratibu.
CC: Tindo .
 
Huyu Tindo jana kanitukana matusi ya aina yote. Nikawa namuambia wizi ni tofauti na kutofuata utaratibu. Mkiwa mnasoma audit reports muwe mnatulia sana ili mziele. Maana kuna lugha zao ambazo watu wengi wa kawaida hawawezi kuzielewa. Mfano wenyewe wakisema qualified na unqualified zina maana ambayo ni kinyume na uelewa wa kawaida wa maneno hayo.
Ndio umejiunga na bundle muda huu nini? Sioni kama toka jana una lolote la maana zaidi ya kucheza na maneno. Isitoshe ni wapi nimekutukana, au ndio umeathiriwa na tabia ya wanasiasa kuwa ukipewa ukweli usioupenda, unaupa jina kutukanwa ili kufunika ukweli?
 
Sijawahi waza kama bando ni shida kwa wengine, ila muda ndiyo tatizo kubwa sana kwangu. Muda hauniruhusu kuwa hapa nyakati zote.
Okay let's put jokes aside.

Soma vizuri uzi wa Beatrice Kamugisha utaelewa vizuri sana nilichomaanisha.
 
Ule haukuwa wizi, bali ilikuwa matumizi ambayo hayakufuata utaratibu.
CC: Tindo .
Magufuli alikuwa analazimisha watu watii sheria na kufuata utaratibu, iweje yeye asifuate huo utaratibu kama alikuwa na nia njema? Kwa hiyo wale aliowatumbua alikuwa anatumia grounds zipi wakati sio lazima kufuata utaratibu?
 
Sijawahi waza kama bando ni shida kwa wengine, ila muda ndiyo tatizo kubwa sana kwangu. Muda hauniruhusu kuwa hapa nyakati zote.
Okay let's put jokes aside.

Soma vizuri uzi wa Beatrice Kamugisha utaelewa vizuri sana nilichomaanisha.

Kwahiyo hakuna upotevu wa pesa, bali sheria tu ndio zilikiukwa?! Mkuu hata hili nahitaji kusoma alichoandika mama Kamugisha? Mama Kamugisha kaonyesha kuna baadhi ya sehemu zinahitajika ufafanuzi kwenye hiyo ripoti, na sio kasema kuwa ripoti yote hakuna wizi bali ni kutofuata sheria tu.
 
Back
Top Bottom