Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
Jiwe kaondoka na harudi tenaaaaaaaaaa. Hutapata teuzi rudi kijijini ujishughulishe na kilimo, uvuvi na ufugaji. Si una masters wewe? Itumie kwenye ujasiriamali kukuza pato lako na la taifa siyo porojo na blah blah jamvini.RIPOTI YA SIEIJI;
Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 sawa na 95% - CAG
kama ufaulu huu ni A plus.
Haijawahi kutokea Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti.
Kumchafua kote Hayati Rais Magufuli kumbe sababu kapata A.
Dunia ina mambo sana.
Pumzika kwa amani Rais Magufuli.
Cha kushangaza siku hizi baada ya Jiwe kuvuta huweki mbwembwe chini ya thread zako namba yako ya Simu na vielelezo vya elimu yako 'mastaz'RIPOTI YA SIEIJI;
Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 sawa na 95% - CAG
kama ufaulu huu ni A plus.
Haijawahi kutokea Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti.
Kumchafua kote Hayati Rais Magufuli kumbe sababu kapata A.
Dunia ina mambo sana.
Pumzika kwa amani Rais Magufuli.
Kama ulivyoandika "Hii vita ataishinda..."Mungu anawaona hawa watu. Leo hii wanamuona hana maana lakini muda utaongea. Heshima na fadhila alizotuachia Hayati JPM haziwezi kupotea bure bure... haongei lakini hii vita ataishinda...
Nani kazungumzia MAPATO ambayo kwanza ni uporaji wa fedha za wafanya biashara kupitia DPPRIPOTI YA SIEIJI;
Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 sawa na 95% - CAG
kama ufaulu huu ni A plus.
Haijawahi kutokea Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti.
Kumchafua kote Hayati Rais Magufuli kumbe sababu kapata A.
Dunia ina mambo sana.
Pumzika kwa amani Rais Magufuli.
Havina maana tena, mwokozi wake kakata kamba sasa hivi matumbo yanalia matanga tuCha kushangaza siku hizi baada ya Jiwe kuvuta huweki mbwembwe chini ya thread zako namba yako ya Simu na vielelezo vya elimu yako 'mastaz'
Kachelewa huyo. Asubiri gari jingine.Havina maana tena, mwokozi wake kakata kamba sasa hivi matumbo yanalia matanga tu
Akili za kisisiemu kabisa hiziRIPOTI YA SIEIJI;
Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 sawa na 95% - CAG
kama ufaulu huu ni A plus.
Haijawahi kutokea Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti.
Kumchafua kote Hayati Rais Magufuli kumbe sababu kapata A.
Dunia ina mambo sana.
Pumzika kwa amani Rais Magufuli.
Afate maelekezo atafanikiwa huko anakokwenda hakuwez kumsaidia...!Jiwe kaondoka na harudi tenaaaaaaaaaa. Hutapata teuzi rudi kijijini ujishughulishe na kilimo, uvuvi na ufugaji. Si una masters wewe? Itumie kwenye ujasiriamali kukuza pato lako na la taifa siyo porojo na blah blah jamvini.
Kamoooonn!
huu mwamba ulikuwa TRA, ukaondolewa kwa aibu, ukatupwa (in samia voice), ukatupwa kuwa katibu tawala vijijini huko, ukaenda, then ukatumika kama fimbo ya kukamilisha udharirishaji kwa asadi, ukapewa u CAG.Nani kazungumzia MAPATO ambayo kwanza ni uporaji wa fedha za wafanya biashara kupitia DPP
Tunazungumzia MATUMIZI
Ngoja mwamba amalizie funda moja la mwisho aje na madudu mengine
View attachment 1749060
Mtamsafisha wakati kapakaa Oili ChafuRIPOTI YA SIEIJI;
Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 sawa na 95% - CAG...
Vijana mchele mchele wa jiwehuyu mleta mada ndo ana mastazi, labda ya chupi..