Damu Ya Yesu
Member
- Mar 27, 2020
- 99
- 62
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahah kaaaaaaInategemea imepigwa na Nani.
Kama Ni polisi wa Tanzania lolote laweza kutokea.
Mbna kaeleza vzr tu hapo...unataka maelezo ya ziada tena!?Inaposhuka huwa kasi yake inaongezeka kwa kila sekunde. By time inafika chini haitakuwa imeoata kasi ya kutosha kuketa madhara?
Hamna alichoeleza, ni maneno tu mengi.Mbna kaeleza vzr tu hapo...unataka maelezo ya ziada tena!?
Umenikumbusha Watu wa arts shuleni walikuwa akiingia mwalimu wa physics wananyanyuka wanaondoka zao 🤣🤣🤣Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
Kitu kikiwa kinashuka kwa gravity maana yake kinakuwa na constant acceleration 9.8 m/s² ambapo initial Velocity (u)=Final velocity (v).Inaposhuka huwa kasi yake inaongezeka kwa kila sekunde. By time inafika chini haitakuwa imeoata kasi ya kutosha kuketa madhara?
Hicho ndicho nilichosema hapo. Sasa hiyo final velocity inaweza kuwa kubwa kiasi cha risasi kuua mtu?Kitu kikiwa kinashuka kwa gravity maana yake kinakuwa na constant acceleration 9.8 m/s² ambapo initial Velocity (u)=Final velocity (v).
Katika hali hiyo initial velocity U ya risasi inapoanza kurudi ni 0m/s.
Sijui kama umepata mwanga kidogo.
Final velocity inakuwa zero pia sababu ya constant acceleration ya 9.8m/s²Hicho ndicho nilichosema hapo. Sasa hiyo final velocity inaweza kuwa kubwa kiasi cha risasi kuua mtu?
Ikiondoka na velocity labda ya 1000m/s. Velocity yake itaendelea kupungua hadi itafika 0m/s ikiwa juu sana. Sasa inaposhuka hiyo 0m/s inakuwa ni initial velocity. Inaongezeka hadi inapofika chini inakuwa na kasi kubwa sana. Sasa hii velocity inayofika nayo chini inaweza kusababisha madhara na kuua?Final velocity inakuwa zero pia sababu ya constant acceleration ya 9.8m/s²
Kinacho umiza ni momentum kama alivyosema mjumbe (kani inayozalishwa na risasi kutua kwenye kichwa au mwili ) wa muhanga yaanj
F=Ma
M=mass ta risasi
a=Acceleration due to gravity 9.8m/s²