Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
Umenikumbusha Watu wa arts shuleni walikuwa akiingia mwalimu wa physics wananyanyuka wanaondoka zao 🤣🤣🤣
 
Inaposhuka huwa kasi yake inaongezeka kwa kila sekunde. By time inafika chini haitakuwa imeoata kasi ya kutosha kuketa madhara?
Kitu kikiwa kinashuka kwa gravity maana yake kinakuwa na constant acceleration 9.8 m/s² ambapo initial Velocity (u)=Final velocity (v).

Katika hali hiyo initial velocity U ya risasi inapoanza kurudi ni 0m/s.

Sijui kama umepata mwanga kidogo.
 
Hicho ndicho nilichosema hapo. Sasa hiyo final velocity inaweza kuwa kubwa kiasi cha risasi kuua mtu?
 
Hicho ndicho nilichosema hapo. Sasa hiyo final velocity inaweza kuwa kubwa kiasi cha risasi kuua mtu?
Final velocity inakuwa zero pia sababu ya constant acceleration ya 9.8m/s²

Kinacho umiza ni momentum kama alivyosema mjumbe (kani inayozalishwa na risasi kutua kwenye kichwa au mwili ) wa muhanga yaanj
F=Ma
M=mass ta risasi
a=Acceleration due to gravity 9.8m/s²
 
Ikiondoka na velocity labda ya 1000m/s. Velocity yake itaendelea kupungua hadi itafika 0m/s ikiwa juu sana. Sasa inaposhuka hiyo 0m/s inakuwa ni initial velocity. Inaongezeka hadi inapofika chini inakuwa na kasi kubwa sana. Sasa hii velocity inayofika nayo chini inaweza kusababisha madhara na kuua?
momentum=MV. Velocity inayokuwa nayo risasi inahusika hapo
 
Nilikuwa namaanisha Force
Kani
F=Ma
Ukitaka kuelewa hili vizuri soma vitu vinavyo accelerate constantly
 
Back
Top Bottom