Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Usitegemee wife material kwa mwanamke aliyelelewa na mama pekee/single mom. Usitegemee husband material kwa aliyelelewa na single mom
 
Mwongozo wa mapenzi ya kweli ni kusikilizana , kuheshimiana, na kujitolea , hii miongozo mingine sio miongozo ya mapenzi ya kweli bali ni ya project fulani kati ya me na ke watakao amua kuishi pamoja.
 
Mapenzi yote yanaanza na project, hukuona Eva alivyomuona Adam kazubaa bustanini karidhika na matunda ya bure, akaamua amcheck shetani (nyoka) wayajenge..!!
Sasa ww kaa hapo hapo km hujabebewa huyo mkeo ulie πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aaaaaaa weeee mimi sina mke ila nina wanawake πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu wewe ni kataa ndoa??
HAPANA,rafikiπŸ˜…

Naunga mkono vijana waoe,ikiwezekana hata sherehe zao wanipatie (mwaliko)sijui iko sahihi hilo neno..!

"Kataa ndoa" ni paka na panya kwangu.
 
Ndio ni lazima watuone wabaya, kwa sababu hata wao wanapokuwa wanaweka standards zao katika umri mdogo huwa tunawaona wabaya, ni mwendo wa kuonana wabaya tu..
 
Wanawake kuna kitu watasema mwaka huu maana sio kwa hizo attacks.
Mkuu mimi naona wanawake wa kizazi hiki hawajali tena wanaume ndio itabidi tujipange, nina wasiwasi itafikia kipindi wanaume ndio tutaanza kushusha vigezo maana tunaowataka hawatakuwepo tena, itakuwa ni either uoe hawa hawa au usioe kabisa kitu ambacho ni kigumu..
 
Huu ni ukweli asilimia 99 % kasoro hapo kwenye umri punguza kidogo
 
Muandika uzi unajiona genius mwenyewe! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watoto wa 2000 mna matatizo sana kichwani. Mungu awasaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…