Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Wanawake kuna kitu watasema mwaka huu maana sio kwa hizo attacks.
Hizi sio attacks towards wanawake ni Miongozo ya kupata mke bora wa kufanya nae familia
 
Ndio ni lazima watuone wabaya, kwa sababu hata wao wanapokuwa wanaweka standards zao katika umri mdogo huwa tunawaona wabaya, ni mwendo wa kuonana wabaya tu..
Dog Eat Dog
 
Mkuu naandika nachokijua. Sijakurupuka kuandika haya...
Najua hujakurupuka na UNAJUA ulichoandika.

Lakini kama umeoa au umewahi kuoa na kuacha au kuachwa labda uzi wako ungekua tofauti.

Kuna watu wameoa katika mazingira hayo juu(mengi sio yote) na wanaishi vizuri miaka mingi tu.
 
Ilo ni jambo la kweli mkuu, kwani wanawake wa nyakati hizi wamekua pasua kichwa mnoo
 
Oneni huyu mwanamke atakayemuoa lazima stroke imuue
sawa ila vijiji utavyo orodhesha vitokee manyara na usukumani

Leta ushuhuda kidogo ili waamini,rafiki.

Ndio ni lazima watuone wabaya, kwa sababu hata wao wanapokuwa wanaweka standards zao katika umri mdogo huwa tunawaona wabaya, ni mwendo wa kuonana wabaya tu..

Dog Eat Dog

Ni attacks kwa wale wanawake walio nje ya vigezo

😂😂😂 Boss kuna tatizo???
Kwahiyo mnataka tuwe watumwa wenu.?!!
 
Oneni huyu mwanamke atakayemuoa lazima stroke imuue
😳 Unajua vigezo ulivyoorodhesha ni vya ajabu, ndiomana wanaume wenzio wanakushangaa.!!
Ww ukitaka mke wa hivyo miaka hii, weka special order Mungu akutengenezee
Ila hapa dunia hii ya kuzaa kwa uchungu hupati ng’o
 
Kama una akili hii sitaki uwe compain manager wangu kichwa kama tofali wewe
 
4434s3

3
 
Acha unaa ww 🤣🤣
Kuna kitu kimenitesa hapo,nilihitaji kuuliza ila naogopa utanicheka hapa mbele ya kadamnasi😅.

Naona umetembelea hii thread kuchungulia vijana waoaji wanasemaje.🤣
 
Km huyo baba alifariki?
Mama katelekezwa je?
Ikawalazimu kulea wao wenyewe?

Think twice before hujaandika!
Oa kwanza halafu uje utupe mrejesho hapa
 
Mkuu, mimi nachangia nikiwa kama mtu ambaye nimeishi miaka mingi na kuyaona mengi ktk miasha yangu ya mahusiano na watu walionizunguka.

Hayo yote uliyoyasema yana ukweli kwa 97%.
nakazia ila hawa vijana wenye mapepo hawawezi elewa mpaka yawakute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…