Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Kiufupi ukiona ww ni lazima ujitenge na wanawake malaika hawa malkia wa dunia hii ndipo uweze kuseti malengo yako na kupata mafanikio basi ww ni kijana wa hovyo hujitambui na huna misimamo na huna akili pia kwakua hawa tumeumbiwa sisi na tukaambiwa tuishi nao kwa akili.

Free education. Usilete hard feeling
Mkuu unataka mpewe pesa za bure nyie wanawake?
 
Daaa umenigutua usingizini kabisa. Kuna kadada kalikuwa kameshaniingiza king kabisa eti ili tudate nikanunie Kwanza Hisence nchi 42 na makochi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Wakati hata Binti kiziwi hajawahi niletea hizo pigo pamoja na kuwa ni a a first class women😊😊😊😊😊
 
Mkuu mbona unawasagia kunguni wanawake, wakati wameumbwa kwa ajili yetu.........wanawake wote kwa asili ni materialistic, labda umchonge ambaye hatakuingiza kwenye gharama yoyote. Wanaume kushindwa kupambana na kuwapa hawa wanawake vitu vyote vizuri wanavyohitaji si tatizo la hao wanawake, ni la wanaume wenyewe.......​
 
Pongezi kwako kwa kufariji wanaume maskini ila nikuambie huwezi pata madini bila kusotea mgodi na pia maua lazima yamwagiliwe ili yachanue.

Sio kwa nia mbaya

Nyuki hufuata maua na maua hayafuati nyuki, kwa tafsiri hiyo wewe jipange kimaisha ukikaa vyema tafuta mpango wa familia sasa sio ukurupukie mapenzi huruma za kifala ukidhani ni wenzako hao utaachwa solemba bila aibu
 
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.
Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke. Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.
Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.
Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.
Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye. Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.
Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi. Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.
Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.
Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.
Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.
Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.
Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tuu.
Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?

Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.
Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Hii thread is Worth kufungulia mwaka…
 
Nyongeza; Kama unahisi umeshapigwa na dem kwa waganga hujielewi kula dozi ya kuoga maji yaliyochanganywa na chumvi ya mawe limbwata yote kwisha kazi. Wajinga sana hawa watu usipokuwa makini nyimbo ya Mark Muga itakuhusu mbeleni
Wale wanaoga kwenye Shower hawatakuelewa…
 
Nyongeza; Kama unahisi umeshapigwa na dem kwa waganga hujielewi kula dozi ya kuoga maji yaliyochanganywa na chumvi ya mawe limbwata yote kwisha kazi. Wajinga sana hawa watu usipokuwa makini nyimbo ya Mark Muga itakuhusu mbeleni

Kasikilize nyimbo ya Juwatta jazz band waliyomshirikisha Nico Zengekala
 
Tafuta binti mwenye maadili fanya nae maisha Ila angalizo usije kumpa moyo wako Kwa asilimia 100. Mpe asilimia 10 na hizo nyingine 90 ziwe Kwa lolote linaweza kutokea!

Fanya projects zako utaona maendeleo. Starehe za wanawake hufilisisha.

Huu ndio ukweli

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wanawake ni ajabu sana Tena umesema yote.

Imagine anakupenda mwenyewe baadae anataka pesa ya kumtunza hii kitaalam inaitwa "kujiajiri". Kwamba anataka kila kitu kwako umuhudumie na pesa ya matumizi.
Unashangaa nin ndo maana ya kummiliki, ukikimiliki kitu lazima utakihudumia na mwanamke anammiliki mwanamke.

Ndo maana mwanamke akitaka kufanya jambo anaomba ruhusu kwa mwanaume wake anayemmiliki tofauti na mwanaume anamtaarifu tu mwanamke

Ukitaka mwanamke ajitegemee kwa kila kitu kwenye mahusiano technically huyo atakua feminist na mahusiano yatavunjika mda sio mrefu
 
Maweeee!! huo ni uchoyo wa kula Mbususu peke yako!! wanawake walivo na ngozi laini, vimacho vizuri, usisahau vitako/mbususu matata zenye panki, tamu ivo nani aache????.......

acha wafie kwa mbususu ni haki yao km me kuzifia!! sasa unataka Dume zima lile na kunywa tuuu!! rijaze Makalio?? halafu iweje? km siyo kutumiwa? Samsoni hakuwa mjinga, alikufia kwa haki, na nyie kufeni ivovio tu!

huyu Taikon wa fashi mjanja sana, anataka ale mbususu peke yake, wanaume msidanganywe kirahisi ivo!!! Mbususu ndo kila kitu! kazi mwafanya ajili ya mbususu tena imeleta Ma Rais, wafalme! wafanya biashara wakubwa!..

wajeda Matata!! sasa weye mwana JF acha./puuza Mbususu, ufe maskini! ukose mchango Duniani!.....wajanja wanazitafuna mpaka zinalia pooo! eti jitu zima na Rijali upuuze kirahisi tu!...anawajribu huyo mpuuzeni wajameni!!

Mungu alisema muishi na Mbususu kwa akili, km ukishindwa hapo akili huna!...cheza na akili zao hao ke mpaka wakulipie wao!...ukishindwa huna akili!

Tena Mungu huyo huyo! kasema katuagiza namnukuu----'' Nendeni ( yaani ke na me) mkaijaze nchi!! sasa mawazo ya kumpinga Mzee wa siku yametoka wapi km siyo kwa Shetani ? kuptia Taikoni wa fasihi?

sijui ulisomea wapi weye Siasa ya nchi inasema Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne navyo ni...... watu.......sasa utawapataje wkt huoi???......si mlifundishwa ivo shuleni???

Dume zima kabisa ule tuuu na kujaza Makario? kweli?? ina Maana falsafa ya kuku jogoo, iko juu zaidi yako!! kwa sababu Jogoo kuku! anampenda Mtetea Ever!! yuko tayari asile ili Mtetea ale!!

Acheni hizo tafuta hela!! Mademu zenu na watoto waleeee!! mpaka wapinduke!! msidanganywe!...jenga majumba hapo!! waachie weye tambaa na njia! ukifika huko tena anza moja toa pesaaa!

akikufukuza shukuru nenda tena kwingine anza moja tafuta mpaka ufe ndo kazi za vidume! haviogopi kufa, Leo Ukraine wanaume wanakufa ajili ya ke na watoto! potelea kwa mbali!

Lkn siyo kula mapochopocho chips kuku/nundu nzima/Maziwa mtindi peke yako eti wajaze Matako, ili wafe kwa pressure asa ukifa nani atakuzika???

Sasa ke woote nawaagiza ukikuta dume zima linakula peke yake bandani/Hotelini! piga makofi hilo!! halijitambui, km yuko na Demu msifie huyo!! km ana watoto na demu muongezee hela huyo!

Me msidanganyweeeee!! oa piga mashine kwa sana tuu!! zaa mitoto jaza hapo! ukifukuzwa, hewala m-busu kwa mbwembwe huyo! nenda mbele!......leta matumizi usijali wala kuogopa!
 
Kwanza muandiko ni kama wa mwanamke aliyeumizwa sana na kujikatia tamaa.

Anywaya Mbususu ndo kila kitu! kazi mwafanya ajili ya mbususu tena imeleta Ma Rais, wafalme! wafanya biashara wakubwa!

"Mbususu ndo kila kitu! kazi mwafanya ajili ya mbususu tena imeleta Ma Rais, wafalme! wafanya biashara"
[emoji115][emoji115]
Hao Marais na Wafalme walitoka kwenye pumbu na huko ndiko walikozaliwa. So huna hoja bado, vipi kama baba yako angekumwagia chooni ungezaliwa?[emoji38]
 
Kiufupi ukiona ww ni lazima ujitenge na wanawake malaika hawa malkia wa dunia hii ndipo uweze kuseti malengo yako na kupata mafanikio basi ww ni kijana wa hovyo hujitambui na huna misimamo na huna akili pia kwakua hawa tumeumbiwa sisi na tukaambiwa tuishi nao kwa akili.

Free education. Usilete hard feeling
Hajasema hujitenge amesema ignore yaan usiendeshwe na mwanamke....
 
Maweeee!! huo ni uchoyo wa kula Mbususu peke yako!! wanawake walivo na ngozi laini, vimacho vizuri, usisahau vitako/mbususu matata zenye panki, tamu ivo nani aache????.......

acha wafie kwa mbususu ni haki yao km me kuzifia!! sasa unataka Dume zima lile na kunywa tuuu!! rijaze Makalio?? halafu iweje? km siyo kutumiwa? Samsoni hakuwa mjinga, alikufia kwa haki, na nyie kufeni ivovio tu!

huyu Taikon wa fashi mjanja sana, anataka ale mbususu peke yake, wanaume msidanganywe kirahisi ivo!!! Mbususu ndo kila kitu! kazi mwafanya ajili ya mbususu tena imeleta Ma Rais, wafalme! wafanya biashara wakubwa!..

wajeda Matata!! sasa weye mwana JF acha./puuza Mbususu, ufe maskini! ukose mchango Duniani!.....wajanja wanazitafuna mpaka zinalia pooo! eti jitu zima na Rijali upuuze kirahisi tu!...anawajribu huyo mpuuzeni wajameni!!

Mungu alisema muishi na Mbususu kwa akili, km ukishindwa hapo akili huna!...cheza na akili zao hao ke mpaka wakulipie wao!...ukishindwa huna akili!

Tena Mungu huyo huyo! kasema katuagiza namnukuu----'' Nendeni ( yaani ke na me) mkaijaze nchi!! sasa mawazo ya kumpinga Mzee wa siku yametoka wapi km siyo kwa Shetani ? kuptia Taikoni wa fasihi?

sijui ulisomea wapi weye Siasa ya nchi inasema Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne navyo ni...... watu.......sasa utawapataje wkt huoi???......si mlifundishwa ivo shuleni???

Dume zima kabisa ule tuuu na kujaza Makario? kweli?? ina Maana falsafa ya kuku jogoo, iko juu zaidi yako!! kwa sababu Jogoo kuku! anampenda Mtetea Ever!! yuko tayari asile ili Mtetea ale!!

Acheni hizo tafuta hela!! Mademu zenu na watoto waleeee!! mpaka wapinduke!! msidanganywe!...jenga majumba hapo!! waachie weye tambaa na njia! ukifika huko tena anza moja toa pesaaa!

akikufukuza shukuru nenda tena kwingine anza moja tafuta mpaka ufe ndo kazi za vidume! haviogopi kufa, Leo Ukraine wanaume wanakufa ajili ya ke na watoto! potelea kwa mbali!

Lkn siyo kula mapochopocho chips kuku/nundu nzima/Maziwa mtindi peke yako eti wajaze Matako, ili wafe kwa pressure asa ukifa nani atakuzika???

Sasa ke woote nawaagiza ukikuta dume zima linakula peke yake bandani/Hotelini! piga makofi hilo!! halijitambui, km yuko na Demu msifie huyo!! km ana watoto na demu muongezee hela huyo!

Me msidanganyweeeee!! oa piga mashine kwa sana tuu!! zaa mitoto jaza hapo! ukifukuzwa, hewala m-busu kwa mbwembwe huyo! nenda mbele!......leta matumizi usijali wala kuogopa!
"acha wafie kwa mbususu ni haki yao km me kuzifia!! sasa unataka Dume zima lile na kunywa tuuu!! rijaze Makalio?? halafu iweje? km siyo kutumiwa? Samsoni hakuwa mjinga, alikufia kwa haki, na nyie kufeni ivovio tu!"
[emoji115][emoji115]
Dada unaonekana upo frustrated mno. Wapi na nani na kwa mamlaka ipi kasema kuwa ni haki mwanaume kuufia uke? Toa reference zenye tija.

Halafu kumbe hujaelewa post vizuri, ni lazima ule, unywe nk, hela si ni ya me au? Matumizi si ni yake? Acha kupangia watu matumizi ya hela ZAO.
 
Maweeee!! huo ni uchoyo wa kula Mbususu peke yako!! wanawake walivo na ngozi laini, vimacho vizuri, usisahau vitako/mbususu matata zenye panki, tamu ivo nani aache????.......

acha wafie kwa mbususu ni haki yao km me kuzifia!! sasa unataka Dume zima lile na kunywa tuuu!! rijaze Makalio?? halafu iweje? km siyo kutumiwa? Samsoni hakuwa mjinga, alikufia kwa haki, na nyie kufeni ivovio tu!

huyu Taikon wa fashi mjanja sana, anataka ale mbususu peke yake, wanaume msidanganywe kirahisi ivo!!! Mbususu ndo kila kitu! kazi mwafanya ajili ya mbususu tena imeleta Ma Rais, wafalme! wafanya biashara wakubwa!..

wajeda Matata!! sasa weye mwana JF acha./puuza Mbususu, ufe maskini! ukose mchango Duniani!.....wajanja wanazitafuna mpaka zinalia pooo! eti jitu zima na Rijali upuuze kirahisi tu!...anawajribu huyo mpuuzeni wajameni!!

Mungu alisema muishi na Mbususu kwa akili, km ukishindwa hapo akili huna!...cheza na akili zao hao ke mpaka wakulipie wao!...ukishindwa huna akili!

Tena Mungu huyo huyo! kasema katuagiza namnukuu----'' Nendeni ( yaani ke na me) mkaijaze nchi!! sasa mawazo ya kumpinga Mzee wa siku yametoka wapi km siyo kwa Shetani ? kuptia Taikoni wa fasihi?

sijui ulisomea wapi weye Siasa ya nchi inasema Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne navyo ni...... watu.......sasa utawapataje wkt huoi???......si mlifundishwa ivo shuleni???

Dume zima kabisa ule tuuu na kujaza Makario? kweli?? ina Maana falsafa ya kuku jogoo, iko juu zaidi yako!! kwa sababu Jogoo kuku! anampenda Mtetea Ever!! yuko tayari asile ili Mtetea ale!!

Acheni hizo tafuta hela!! Mademu zenu na watoto waleeee!! mpaka wapinduke!! msidanganywe!...jenga majumba hapo!! waachie weye tambaa na njia! ukifika huko tena anza moja toa pesaaa!

akikufukuza shukuru nenda tena kwingine anza moja tafuta mpaka ufe ndo kazi za vidume! haviogopi kufa, Leo Ukraine wanaume wanakufa ajili ya ke na watoto! potelea kwa mbali!

Lkn siyo kula mapochopocho chips kuku/nundu nzima/Maziwa mtindi peke yako eti wajaze Matako, ili wafe kwa pressure asa ukifa nani atakuzika???

Sasa ke woote nawaagiza ukikuta dume zima linakula peke yake bandani/Hotelini! piga makofi hilo!! halijitambui, km yuko na Demu msifie huyo!! km ana watoto na demu muongezee hela huyo!

Me msidanganyweeeee!! oa piga mashine kwa sana tuu!! zaa mitoto jaza hapo! ukifukuzwa, hewala m-busu kwa mbwembwe huyo! nenda mbele!......leta matumizi usijali wala kuogopa!
"Mungu alisema muishi na Mbususu kwa akili, km ukishindwa hapo akili huna!"
[emoji115][emoji115]
Hopeless. Ni wapi alisema muishi na MBUSUSU kwa akili? Eti ukishindwa akili huna, wajinga wengi wameibuka kwa kasi na kuitafsiri Biblia huku wanajisaidia haja kubwa. Acheni kuichukulia Bible cheap kihivyo na kuitafsiri kishamba hivyo.
 
Back
Top Bottom