Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Una asili ya uchoyo! umimi, ubinafsi, visununu! hustahili hata kuigwa unataka kula mwenyewe tuuu!! hutaki usharika! wkt umesoma umoja ni nguvu!!...... st kayumba mna matatizo ya ubongo.......

ulisomea wapi kwani?? jifunze kubeba mapungufu ya mwenzio!!! Dadako/mamako akifanyiwa hayo utafurahi?? lkn hii yooote sababu hukuwa na baba!! ungekulia kwa baba ako!

asinge kufundisha uchoyo!! eti ule wewe tuuu! ushibe ukalale mweee!! Taifa litajengwa na nani??
Sawa hujakosea, uchoyo si mzuri. Ila...

"St kayumba mna matatizo ya ubongo......."[emoji118] kwa hiyo waliosoma private ndo hawana matatizo ya ubongo?
 
ndo ukweli mchoyo hutakaa na mtu! kamwe! unaona raha kula michips na kujaza rijikitambi bila mke! huenda pia unamatatizo huko chini inatumika! ati
Inatumika(insertively) na nawala kweli kweli, na namshukuru Mungu kwa hilo, ila still sina shobo kihivyo.
 
Inatumika(insertively) na nawala kweli kweli, na namshukuru Mungu kwa hilo, ila still sina shobo kihivyo.
kama unakula kitu tamu! n tamu ni tamu kweli kweli kila ntu anajua humu! ..... kwanini uhudumie utamuuuu?? ili uendelee kupata tamuuu huduma??? ndo mashaka yangu yalipo hapo!!
 
Maweeee!! huo ni uchoyo wa kula Mbususu peke yako!! wanawake walivo na ngozi laini, vimacho vizuri, usisahau vitako/mbususu matata zenye panki, tamu ivo nani aache????.......

acha wafie kwa mbususu ni haki yao km me kuzifia!! sasa unataka Dume zima lile na kunywa tuuu!! rijaze Makalio?? halafu iweje? km siyo kutumiwa? Samsoni hakuwa mjinga, alikufia kwa haki, na nyie kufeni ivovio tu!

huyu Taikon wa fashi mjanja sana, anataka ale mbususu peke yake, wanaume msidanganywe kirahisi ivo!!! Mbususu ndo kila kitu! kazi mwafanya ajili ya mbususu tena imeleta Ma Rais, wafalme! wafanya biashara wakubwa!..

wajeda Matata!! sasa weye mwana JF acha./puuza Mbususu, ufe maskini! ukose mchango Duniani!.....wajanja wanazitafuna mpaka zinalia pooo! eti jitu zima na Rijali upuuze kirahisi tu!...anawajribu huyo mpuuzeni wajameni!!

Mungu alisema muishi na Mbususu kwa akili, km ukishindwa hapo akili huna!...cheza na akili zao hao ke mpaka wakulipie wao!...ukishindwa huna akili!

Tena Mungu huyo huyo! kasema katuagiza namnukuu----'' Nendeni ( yaani ke na me) mkaijaze nchi!! sasa mawazo ya kumpinga Mzee wa siku yametoka wapi km siyo kwa Shetani ? kuptia Taikoni wa fasihi?

sijui ulisomea wapi weye Siasa ya nchi inasema Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne navyo ni...... watu.......sasa utawapataje wkt huoi???......si mlifundishwa ivo shuleni???

Dume zima kabisa ule tuuu na kujaza Makario? kweli?? ina Maana falsafa ya kuku jogoo, iko juu zaidi yako!! kwa sababu Jogoo kuku! anampenda Mtetea Ever!! yuko tayari asile ili Mtetea ale!!

Acheni hizo tafuta hela!! Mademu zenu na watoto waleeee!! mpaka wapinduke!! msidanganywe!...jenga majumba hapo!! waachie weye tambaa na njia! ukifika huko tena anza moja toa pesaaa!

akikufukuza shukuru nenda tena kwingine anza moja tafuta mpaka ufe ndo kazi za vidume! haviogopi kufa, Leo Ukraine wanaume wanakufa ajili ya ke na watoto! potelea kwa mbali!

Lkn siyo kula mapochopocho chips kuku/nundu nzima/Maziwa mtindi peke yako eti wajaze Matako, ili wafe kwa pressure asa ukifa nani atakuzika???

Sasa ke woote nawaagiza ukikuta dume zima linakula peke yake bandani/Hotelini! piga makofi hilo!! halijitambui, km yuko na Demu msifie huyo!! km ana watoto na demu muongezee hela huyo!

Me msidanganyweeeee!! oa piga mashine kwa sana tuu!! zaa mitoto jaza hapo! ukifukuzwa, hewala m-busu kwa mbwembwe huyo! nenda mbele!......leta matumizi usijali wala kuogopa!
Nakukubakigi sana , lakini bado hujatushawishi kwa kweli!
 
Kuna wanamke ni pasua kichwa kwa kweli yaani ukimpenda anakuona fala sana na atakupiga matukio mpaka ufe
Yaani hawajali hawa wanadamu ni wakatili mno kuelekea wale wanaowapenda..

Huwa inasikitisha sana mwanaume kuweka nguvu ya kuonyesha upendo kwao utakufa na wala hawajali wala kushtuka.

Wanawake hawatakiwi kuendekezwa ingawaje wao wenyewe wanapenda kuendekezwa
 
Naomba niongezee kitu

Kwa vijana ambao bado unajitafuta na mambo yameanza kuwa poa,inabidi uwe mkali kweli kwa hawa viumbe maana unaweza ukawapuuzia lakini wengine wakajileta kwako kwa nguvu,nakuambia mtu akitaka kukung'ang'ania kama ruba fanya namna yoyote ile ukitupe nje,ukiwa na huruma tu utakuwa umeharibu kila kitu

Usizingatie sana yale maneno eti ukiwa mke na mtoto ndo unafanikiwa huo sio ukweli,zaidi na zaidi ukiwa na hao watu mapema kabla ya malengo yako kutimia lazima utadondoka au utachelewa kutoboa
"Usizingatie sana yale maneno eti ukiwa mke na mtoto ndo unafanikiwa huo sio ukweli,zaidi na zaidi ukiwa na hao watu mapema kabla ya malengo yako kutimia lazima utadondoka au utachelewa kutoboa"
 
Back
Top Bottom