Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo nlipitia miaka 12 iliyopita,tokea hapo naishi kibaharia tuNa pia ukikosa ndio utamuelewa vizuri.
Mwanzoni Kwa vile Hana uhakika atakuwa anakustahi lakini akishathibitisha umeishia hapo ndipo utamuelewa vizuri
Mwanzoni sikua nakuelewa, ila siku hizi kila napoona andiko lako nafungua nasoma vizuri tu hata kama ni shubiri. Kuna vitu najifunza na ni helping....👊👊👊
Eti umzalishe ,asikuache Hahaha"Usizingatie sana yale maneno eti ukiwa mke na mtoto ndo unafanikiwa huo sio ukweli,zaidi na zaidi ukiwa na hao watu mapema kabla ya malengo yako kutimia lazima utadondoka au utachelewa kutoboa"
True wakora ndo wengiDejane ni Binti mzuri.
Nafikiri mabinti wengi WA humu ni wazuri, ingawaje wapo wachache ni wakora
Haya mambo nlipitia miaka 12 iliyopita,tokea hapo naishi kibaharia tu
Hawa watu Acha kabisa,
Ova
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.
Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.
Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.
Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.
Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.
Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.
Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.
Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.
Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.
Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.
Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.
Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.
Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.
Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.
Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.
Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.
Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.
Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.
Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.
Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.
Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.
Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.
Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.
Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.
Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.
Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.
Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.
Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?
Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.
Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu
Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.
Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!
Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.
Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
hii kitaalamu inaitwa vuka nachako.eee unaweza ukajionea mwenyewe jinsi dada zitu hawa walivo nanguvu yaupambanaji ukizingatia hali yauchumi imebaba kidogo ee nadhani wanna jaribu kutueleza kila mtu apambane nahali yake.kwako enok...😂mbona siku hizi wanaume wenzetu wengi sana wanatuambia tusiwape wanawake pesa hii imeakaaje kitaalamu ?
Ameen, Nina hulka ya kupenda kujifunza mapya kila siku.yananisaidia...asante kwa maarifa yako.Barikiwa zaidi Mkuu.
Ukiona kitu nasisitiza kitolee macho na Akili yako yote ifanye kazi.
Kwani mara nyingi nazungumzia uhalisia na sio hisia
Faidi kuu ya uzinzi ni kwamba inakufanya utafute ndalama kwa nguvu sanaWell said Kuna watu watakupinga Sana
Uzinzi hauna faida
Taikuni nimesoma ila mm kiukweli nahonga kinoma alafu nakula kisha napita roma.....ndo niko hivo lazima nimuhonge ili nimzagamue na hua nahonga mara ya kwanza nikashazagamua ntakula bure hadi asepe mwenyewe😀😀
Unawahi dozi
Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!Kwanza muandiko ni kama wa mwanamke aliyeumizwa sana na kujikatia tamaa.
Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!Hao Marais na Wafalme walitoka kwenye pumbu na huko ndiko walikozaliwa. So huna hoja bado, vipi kama baba yako angekumwagia chooni ungezaliwa?![]()
Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......Dada unaonekana upo frustrated mno. Wapi na nani na kwa mamlaka ipi kasema kuwa ni haki mwanaume kuufia uke? Toa reference zenye tija.
Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivoHalafu kumbe hujaelewa post vizuri, ni lazima ule, unywe nk, hela si ni ya me au? Matumizi si ni yake? Acha kupangia watu matumizi ya hela ZAO.
kasome Biblia yoote!Hopeless. Ni wapi alisema muishi na MBUSUSU kwa akili? Eti ukishindwa akili huna, wajinga wengi wameibuka kwa kasi
Taikuni nimesoma ila mm kiukweli nahonga kinoma alafu nakula kisha napita roma.....ndo niko hivo lazima nimuhonge ili nimzagamue na hua nahonga mara ya kwanza nikashazagamua ntakula bure hadi asepe mwenyewe
Kuhusu ni eti anasema?
Thibitisha kuwa baraka ZOTE znatoka kwa mke. Otherwise ni pumba.Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!
Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!
anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!
Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......
wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.
ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!
tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??
yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!
ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??
umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!
Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo
kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??
Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
Ameen, Nina hulka ya kupenda kujifunza mapya kila siku.yananisaidia...asante kwa maarifa yako.