Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!

Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!

anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!

Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......

wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.

ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!

tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??

yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!

ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??

umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!

Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo

kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??

Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
Una uthibitisho upi kuwa hela si zangu?
 
Ume taipu jambo la kuwasaidia vijana wenye upeo na uelewa, safi Sana, Wanawake hawana maana kabisa, ispokuwa kukamata mlupo siku moja moja sio mbaya, usikosee ukauleta unapoishi umekwisha wengi wao pia ni washirikina.
 
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.

Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.

Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.

Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.

Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.

Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.

Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.

Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.

Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.

Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.

Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.

Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.

Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.

Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.

Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?

Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.

Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.

Tafuta ela, ukiwa na hela huo ushauri utaona ni rubish tu

Ukiwa Huna ela ndio utaona huo ni ushauri wa maana
 
Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!

Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!

anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!

Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......

wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.

ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!

tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??

yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!

ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??

umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!

Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo

kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??

Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
"Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo"

[emoji115]
Hueleweki unaongelea mwanamke yupi, wife material au mdangaji aliyejivika jina la mke. Then thibitisha hapa kuwa pesa YOTE ni ya familia yangu. Lete ushahidi strong coz hoja yako ina hang bado.
 
Ushauri huo chukuenj Adam aliendeleza mwanamke akaanguka, Samsoni aliendekeza mwanamke akaanguka uhalisia haufi hata wewe bwana mdogo ukiendekeza wanawake utaanguka na ukianguka unaachwa kama kawaida, jijenge mwenyewe kama mnavoshauriwa, panga familia yako na mtu sahihi na usiwe mtumwa utaumia, mkisikia wanapigania haki sawa mnakenua meno huku inakula kwenu, utadaka stress then utakufa ghafla hakikisha unailinda amani yako hakuna atakaekupa furaha isipokua wewe mwenyewe, Taikon kamaliza kila kitu,

Hata wanawake wanaanguka Kwa wanaume

Tena possibly wanawake wanateswa na kupotezewa muda Sana kuliko wanaume

Haya matukio hayako one side yako both side
 
Tafuta ela, ukiwa na hela huo ushauri utaona ni rubish tu

Ukiwa Huna ela ndio utaona huo ni ushauri wa maana

Ukishakuwa na hela, hela ni mungu huwezi mchezea chezea hovyo kijinga.

Vijana masikini kama ninyi ndio mnahangaika kutafuta Pesa ili muwe misukule ya Watu wengine.

Wenzenu wanatafuta Pesa ili watumikiwe
 
Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!

Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!

anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!

Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......

wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.

ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!

tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??

yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!

ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??

umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!

Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo

kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??

Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
"Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena!"
[emoji115][emoji115]
Sasa unajichanganya mwenyewe[emoji38] huyo mtoto katokana na baba au mama? Anzia kwenye development na ORIGIN yake mpaka kuitwa mtoto. Anayezaa ni baba au mama? Kwa nini? Haya St Mary jibu hoja hizo.
 
Hatuwezi kuishi bila ninyi Kwa sababu ninyi ni sehemu yetu.
Ila ninachowaambia Vijana wasiwaendekeze Wanawake(hapa nazungumzia Materialists)

Kumpa mwanamke ela akasuke ni kumdekeza?

Hayo ni majukumu ya mwanaume boss
 
Ukishakuwa na hela, hela ni mungu huwezi mchezea chezea hovyo kijinga.

Vijana masikini kama ninyi ndio mnahangaika kutafuta Pesa ili muwe misukule ya Watu wengine.

Wenzenu wanatafuta Pesa ili watumikiwe

Una fikra za kimaskini ndio shida yako
 
Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!

Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!

anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!

Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......

wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.

ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!

tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??

yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!

ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??

umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!

Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo

kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??

Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
"anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu:
[emoji115][emoji115]
Je angekumwaga nje ya k ya mama yako(kumwaga nje) ungezaliwa/ungekuwepo ?[emoji38] haya twende twende
 
Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!

Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!

anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!

Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......

wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.

ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!

tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??

yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!

ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??

umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!

Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo

kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??

Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
"Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......"
[emoji115][emoji115]

Unatumia hisia sana halafu unaogopa challenging. Toa uthibitisho SAHIHI kuwa Urusi, Ukraine, Iran etc chanzo cha vita ni WANAWAKE na PESA. Acha story lete facts.
 
Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!

Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!

anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!

Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......

wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.

ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!

tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??

yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!

ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??

umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!

Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo

kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??

Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
"ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee"
[emoji115]
Ni nje ya mada, ni tusi umetoa ili nikate tamaa ya kukuuliza. Una ushamba mwingi. Mimi tayari ni me, hata nikiombwa nya still ni me[emoji38]got it? Usitumie hasira twende mdogo mdogo
 
Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!

Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!

anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!

Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......

wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.

ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!

tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??

yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!

ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??

umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!

Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo

kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??

Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
"yani kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??"
Umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!"
[emoji115][emoji115]

mongst things siziogopi ni maneno hasa matusi. Hayanibadilishi chochote. Jikite kwenye hoja kabila gani wewe? Mbona hujui kujenga hoja? Umekula?[emoji38][emoji28]
 
Wakti mkoloni wenu! adui zenu wana tamka wazi bila kificho nawanukuu ''To EVERY SUCCESSFUL MAN BEHIND THERE'S A WOMAN'' Ajabu ni kuwa nyie watumwa, wa ulimwengu wa tatu ni kinyume!

Mta-tawaliwa/kukoloniwa tena na tena mpaka kiama! tena safari hii hawaji km wakoloni watakuja km BANAKUBA AANGU! na mtawaita ivo kweli kwa sabau hamtaki kuoa !!

wake/Mama/Bibi /binti zenu wataolewa nao hao wakoloni!! mtapata kizazi kingine cha waarabu wengine tena sasa sijui mtamlilia nani?? wkt mmekosea wenyewe!...

mkiwashindwa kutunza wake zenu na watoto wenu manake waje wakoloni wawasaidie kuwatunza! ndo manake, Mungu aliagiza tena wazi kabisaaa watunzwe/muishi nao kwa akili!.......mkishindwa manake nyie watu hamna akili!!

Sasa wenye akili watawasaidia subirini.......yaani wote sasa nyie na sisi tutawekwa kundi moja tutatunzwa na wenye akili kina nani hao....... wakoloni!.....wanaweza kuwageuza manake mmeshindwa majukumu yenu!

Tukiwaambia ukweli oooh! '' mna stress!'' ndiyo tuna stress kwa sababu hatutaki mpotee ajili ya wajinga wachache wenye DNA za kishoga! ambao wao kukaa kivyao! vyao! bila watu na kupika kivyao kwao ni starehe!

Kutunza nyumba/watu wa familia nyumbani, kuogesha watoto kupika jikonink. tumeumbiwa sisi ke! sasa kuna vidume vinatamani hizi kazi! mweee! haayaa yangu ni hayo ila .......

Mnaogopa ku handle stress za kitu mke kweli kabisa wabongo mmefika hukooooooo! tena mnatamka wazi hivi.....
 
Back
Top Bottom