Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Mbona kama una muattack taikuni wetu as if u have personal issues nae?!

Kama una hoja kinzani kwann usiiwasilishe kwa namna ya utulivu badala ya hii ya kushambuliana.
Umesoma toka mwanzo, Umenisoma toka mwanzo?
Personal attack my foot. yeye amefanya nini.?

Unatizama upande mmoja na wewe.
Usinifundishe.
He is and will Remain A Misogynist . Bisha
 
Then marafiki zangu wote wangepata watoto wenye usonji. Maana wengine wamepata watoto from 30+.

Anyways ubora wa afya ya akili ya mtoto unachangiwa na mayai ya mama pia. So its important kutazama factors zinazo affect ubora wa mayai na mbegu.

Mfano watoto wengi wanazaliwa na matatizo ya kiafya na akili sababu ya lishe mbovu ya watoto wa kike wanayokula sasa, matumizi ya dawa vibaya mfano contraceptives, matumizi ya vipodozi vyenye kemikali mbaya mwilini zinazopenya wakiwa salooni kuseti nywele plus wanazopakaa.

Mwanaume ana asilimia ndogo sana katika kuharibu mtoto na mostly ni DNA na genes hapo ndio huleta shida. Ila kama yupo poa anaweza zaa hata akiwa na maika 60 na watoto wakatoka vema tu.
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
Mbona kama una muattack taikuni wetu as if u have personal issues nae?!

Kama una hoja kinzani kwann usiiwasilishe kwa namna ya utulivu badala ya hii ya kushambuliana.
Achana nae huyo ana Intellectual Impairments
 
Inabidi tukuwekee ulinzi wa kutosha kuhani. Umekuwa mwiba mkali mno kwa hawa watu humu ndani. Nimeusoma huu uzi huku nacheka kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimejaaliwa kuusoma uzi woote bila kuacha neno ila niseme tuu kuwa umeandika dira nzuri na itakayowakomboa wenye kutaka japo kuna baadhi wamekuelewa vibaya kwa kudhani kuwa umewakataza kuwa na mahusiano na wanawake na hii ni kutokana na wao kutokuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa walichosoma

Binafsi nilianza kuapply hii njia miaka kumi iliyopita japo sikuwahi kudondokea kwa hiyo mipakashume ila nikiri kuwa matunda yake nayaona
 
Inabidi tukuwekee ulinzi wa kutosha kuhani. Umekuwa mwiba mkali mno kwa hawa watu humu ndani. Nimeusoma huu uzi huku nacheka kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Piga Ua.....tu tsk tsk

Mambo ya Saviour mentality hayo yakhe.
 
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.

Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.

Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.

Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.

Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.

Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.

Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.

Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.

Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.

Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.

Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.

Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.

Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.

Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.

Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?

Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.

Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.
Kama mtoto kakupa vitu vitamu akili lazima itamganda tu
 
Inabidi tukuwekee ulinzi wa kutosha kuhani. Umekuwa mwiba mkali mno kwa hawa watu humu ndani. Nimeusoma huu uzi huku nacheka kweli[emoji23][emoji23][emoji23]

😀😀
Mtu akishakuwa Zuzu anahaki ya kutambulika Kama Zuzu, na tutampa Haki zake.

Huyo Zuzu na watu mfano wake kuna Wakati inabidi ujadiliane nao ili kumfanya/kuwafanya nao wajihisi ni sehemu ya jamii.
Sio kila Wakati utawapuuza Watu Kwa uzuzu wao.

Kheri ya Mwaka Mpya Mkuu
 
Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.
Kama mtoto kakupa vitu vitamu akili lazima itamganda tu

Vitu vitamu ni vile attitude yako utakavyoiweka juu ya MTU husika.
 
nimejaaliwa kuusoma uzi woote bila kuacha neno ila niseme tuu kuwa umeandika dira nzuri na itakayowakomboa wenye kutaka japo kuna baadhi wamekuelewa vibaya kwa kudhani kuwa umewakataza kuwa na mahusiano na wanawake na hii ni kutokana na wao kutokuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa walichosoma

Binafsi nilianza kuapply hii njia miaka kumi iliyopita japo sikuwahi kudondokea kwa hiyo mipakashume ila nikiri kuwa matunda yake nayaona

Barikiwa Sana Mkuu.
 
A Misogynist is A Misogynist.

Utaeleweka tu!
Utajificha chakani, Tutakuibua tu.

Utawakumbuka Baba Kaka na Mama dada wako.
 
You are a Misogynist. Wewe ni mwongo. Wewe ndio unasema watu wasifanye haya na Wafanye yale. Mwongo tu hapa tumewashtukia. Yaani wewe lazima Ulale Central.

Unafikiri nitakuacha kwa matusi yako/yenu??
Stop Terrorising our Youth, Stop Terrorising our Women...You evil twat.
You definately sick, petty Insecure and Ignorant.
Nenda ukalale na Dada ako pisi kali.
Na ulegee, na ukiniona mtaani ujihaarishie.

Sasa nenda ubadilishe ID uje na kejeli zako na Matusi. Huna hoja.

Narudia Bandiko lako lina hatarisha Usalama wa Taifa letu.
Mkuu wengi humu tunamkubali nakufuta anayoandika tuliza mshono kama hautaki kufuata
 
Shida ni kwamba, hauwezi kuwapuuzia. Na ndio wanafanya tutafute pesa Kwa nguvu na jitihada zote.

Mwanamke akikukataa unaitafuta pesa Kwa hasira zote kuweka heshima.
Kama ni hivi basi malengo hujayaweka sawasawa. Tangu nazaliwa, kujituma ndani ya maisha yangu hakujawahi kuendeshwa na uwepo wa mwanamke. Ninamalengo ila kamwe hayaendeshwi na uwepo wa mwanamke.
 
Mkuu wengi humu tunamkubali nakufuta anayoandika tuliza mshono kama hautaki kufuata
Ruhusa haitoki kwangu.
Wewe mkubali tu...
Simjui, nitakuwaje na shida nae?
Shida yangu ni

... kuwa anacho andika sio Maadili ya Mwafrika, sio za Tamaduni za Mwafrika.

Nikidai hicho, kinawauma, mnaanza na matusi...atete namie nitete...hakuna mshindi hapa

Kwa lugha anayotumia Ni Misogynism a Racist Misogynist

yeye na Mazuzu wake na mie na maono yangu. Tatizo lipo wapi?
Nimuachie amezeshe sumu?- Vile Language.?

Karibu kwenye duru la "Uhuru wa Kuropoka"
 
Mkuu kuna ubaya gani tukishauriwa tusiwape pesa kizembe wanawake malaya wala kua na mda na ukaribu nao? Mkuu kwani tukiachana na hawa malaya tukatengeneza maisha yetu kuna tatzo gani?
 
Mkuu kuna ubaya gani tukishauriwa tusiwape pesa kizembe wanawake malaya wala kua na mda na ukaribu nao? Mkuu kwani tukiachana na hawa malaya tukatengeneza maisha yetu kuna tatzo gani?
Wapi aliposema msiwape pesa Wanawake Malaya? Inawezekana hapo sikusoma au wewe unakisia kisia tu ndilo alivyomaanisha....na kwa mantiki hiyo atakuwepo mwingine atakaye kisia kwamba anamaanisha ampuuze hata mama yake? au na huu ndio "Uzuzu" anaolazimisha?

Au tunazungumzia Ukimbari tena? Kwani umekosa Pisi kali wa aina yake anayotangaza humu?

Au "Wanawake Malaya" sio Wanawake kamili....hawana maku?

Ataeleweka tu.

...endelea na maisha yako mie sina la kukuahidi.
 
Back
Top Bottom