Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

....na ukileleta uhuni au ubaya lazima matokeo yake yawe kashfa, kejeli matusi na dhihaki na madharau, kwa hayo, ni haki yangu kukurudishia hayo juu!
Uwe Baba Heriel, Baba Swalehe au Swalehe.

endelea
 
Lakini Na wewe unatumia lugha kali pia sana
Mtoa mada hayupo sahihi kukuita zuzu lakini unatumia lugha kali mno navyosoma maandishi mate yananidondokea unafoka sana mkuu

Una ma idea kibao mkuu mengi mno ila unavuoyawasilisha ni changamoto sana nahisi upo hivyo kwenye maisha ya kawaida pia labda unahisi watu hawakuelewi be calm and present your ideas well

Hata wapumbavu kuna muda wana present idea zao vizuri Unaweza kuta Mtoa mada nae ni mpumbavu ila kawasilisha mada yake vyema watu wameikubali

Usinijibu kwa gazeti mwenzako mvivu kusoma na simu namkabidhi swalehe

Mimi ukiona MTU nimemuita Zuzu jua ni kweli ni Zuzu.
Sijamuita ili kumuoena, ni kawaida yangu kuwapa Watu Haki zao.

Kujadiliana naye ni just for Funny,
 
....na ukileleta uhuni au ubaya lazima matokeo yake yawe kashfa, kejeli matusi na dhihaki na madharau, kwa hayo, ni haki yangu kukurudishia hayo juu!
Uwe Baba Heriel, Baba Swalehe au Swalehe.

endelea
Eeh 😂😂😂we kumbe hamnazo
 
Kuna watu mada kama hizi hawazipendi,unajua kwanini? Kwa sababu zinaondoa na kuharibu ajenda zao! Trust me kuna mambo hayako kwa bahati mbaya! Sasa ikitokea kuna mtu akawa kama anataka kuwasanua hivi lazima ashughulikiwe mapema!

Lakini kiufupi katika taifa lolote ukishaweza kuwaharibu vijana na wakashindwa kufikiri vizuri na ukawaweka busy na vitu vya kipuuzi basi hilo taifa ni mfu! Si mnaona wenyewe siku hizi watoto wa kiume wanashindana na dada zao?

Angalia mitandao yote ya kijamii ni upuuzi tu umejaa..na ukijifanya uko busy na mambo ya msingi utashangaa kuna video au picha ina pop up bila ridhaa yako..lengo ni kukuvuruga...now days huwezi kuangalia mitandao ya kijaa kwa amani..nenda twitter uone balaa..lengo watu wanapush agenda zao..na wamefanikiwa.
Absolute, zote ni projects tena planned

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Wale wenye mashaka na Taikon, jaribuni kumfatilia vizuri mtamwelewa.

Kila nyanja yupo iwe kwenye mahusiano, afya, elimu, uchumi, ujasusi nk, na kwote huko anadadavua vizuri yaan hapunji wala kupendelea bali ni uhalisia tu.

Kwa kifupi Taikon ni li-package fulani hivi amazing sana.
Achukue fom 2025[emoji23]
 
Wapi hapo Unapojadiliana.

Ngoja nikuongezee utamu....

.....Ukiambiwa ukweli, ukipingwa,unaishia kuleta Kejeli na Matusi.

Hakuna lelote ambalo umeleta humu JamiiForums unalolijadili.

Unachofanya, ni kuweka bandiko, unachofanya ni kudhihaki, na baada ya hapo unaleta Asertion zisizokuwa na mshiko, ukishtukiwa unakimbilia kejeli....mjinga, wewe, zuzu wewe, matusi lukuki kuchanganya watu wakuache....bila kujadiliana, badala yake unawasubiri wale mazuzu wenzako waje kukupa kongole, waje kudhihaki....ndio unaita Majadiliano???

Utaumbuka tuu. Njoo upindishe na haya nayo shikilia kidete, haramia wee.

Narudia, Wewe ni Mkimbari, wewe ni Mtia chuki, wewe ni Uchwara tu.

Njooni mjichekeshe chekeshe, mda wenu Umefika!

Haiingii akilini Mtu Ambaye anajidai kuweka Taswira ya kuwa yeye ni Mtanzania, kuwa yeye ni msomi ati "Taikun wa Fasihi" kuwa yeye anyejiweka kuwa ni Mzalendo, kuwa ni mpigania haki, kuwa ni mwalimu wa hili na lile na wakati huo huo anamdhihaki Mama yake, dada yake bibi yake na Mtanzania mwenzake kwa kumuiita 'Malaya' 'Hana la kusema' kwako ' hana mchango wowote kwenye Jamii' na hapo hapo kutandika blanketi kwa Watanzania wote kuwa ni Wajinga....Wewe ni mtu gani, kwa taswira uliyojiwekea Kutokujiheshimu, kutokuheshimu Watanzania wenzako unaodai kuwaelimisha? na makala Uchwara? Na matusi na Kejeli??

Hilo limekaa vipi? Narudia....

Wewe ni mchumia tumbo tuu, wewe ni mtu mwenye chuki chuki wewe ni Misogynist, wewe ni Bigot, mkimbari na haufai katika Jamii yeyote hapa Duniani...

Najua utaenda kujificha ficha kwa mazuzu wenzako huko na kutupa vijembe.

Njooo tujadiliane Man-O-Mano

Njoo Ubishe wewe sio Mkimbari, Njoo Ubishe wewe sio Mchukia Wanawake.
Njoo ubishe unayo hiyo Elimu unayochagiza kwa Matusi, kwa Udhalimu na Chuki

Njoo ubishe ya kuwa wewe sio Mtanzania.....Njoo wewe Haramia!
Apa kaongelea mijike fulan iv inayofanya wanaume kama mitaji , hakuna mwanamke anakuja kwako tu bila kuvutwa na kitu fulani iwe mama na hata dada zngu .
 
Wacha inyeshe tuone panapovuja!
Uzuri kila mtu atakuwa analia akiwa kwake. Wapo wataotafuta kumwambia bwana Robert kwanini ulitudanganya, naye atawaambia "MANENO YANGU SIO SHERIA" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niko paleeeee nacheza amapiano nikisubiri kuona jua likichomoza kaskazini na kuzama kusini!
[emoji23]
 
Kabsa mkuu yani unaona mpangilio wa ubongo wake live kabsa

Mbona unawaza maasi hivi ndugu. Yaani kwako wewe unaamini maisha ya mwanamke yanaendeshwa na uepo wa mwnaume and never vice-versa. Unaeneza chuki kupitia personal attacks kwamtu aliyeamua kujiweka mbali na wanaume kwasababu tu ya mapitio aliyopitia baada ya kujihusisha nayo. Tangu utotoni naliona mwanaume alivyojitahidi kujitenga na mwanamke hata kuleta mashindano aonekane bora na hata ndani ya mahusiano nimepitia various consequences kwakumsaidia mtu ambaye anaamini ni bora kuliko jinsia nyingine. Hamkuwafunza wala kuwachunga madogo juu ya haya kwawanayojaribu kuyapush unnecessarily ila leo wataka kumtukana na kumpa lawama syllo kuwa anaeneza chuki. Be careful my brother. Hamna mtu asiyependwa kujali, the more you push them away the more they will continue to pull away. That is what men did, bila kujua a reverse card when played on you, you will surely cry and regret. Yalitabiliwa haya ndugu, chungeni madogoi sio kutupia lawama mabinti. Ila pia kasi na hamu ya kujitafutia ikiletwa na mwanaume basi hukua na maono juu ya future yako, maana mwanaume awepo asiwepo I still want a good house, an expensive car, to heavily support my parents and relatives and live a life not worrying about having less cash. Acha chuki chief.
 
Hulda, Nimekuelewa, kongole lakini usimuamishie goli...
(pre- emptive strike)
inawezekana akaja kudai hayo, kuwa anayosema na kuandika si sheria!


"Wacha inyeshe tuone panapovuja!
Uzuri kila mtu atakuwa analia akiwa kwake. Wapo wataotafuta kumwambia bwana Robert kwanini ulitudanganya, naye atawaambia "MANENO YANGU SIO SHERIA" 🤣🤣🤣" au mwisho wa kunukuu
 
Wale wenye mashaka na Taikon, jaribuni kumfatilia vizuri mtamwelewa.

Kila nyanja yupo iwe kwenye mahusiano, afya, elimu, uchumi, ujasusi nk, na kwote huko anadadavua vizuri yaan hapunji wala kupendelea bali ni uhalisia tu.

Kwa kifupi Taikon ni li-package fulani hivi amazing sana.

Ha ha, Msomi sana Jamaa, Amazing caricature...Anaweza kufundisha mpaka Chuo Kikuu!
Mie naona apewe Uwaziri fulani hivi katika nyanja yeyote ile uliyotaja.

Chawa mzuri wa Kuwavaa watu.
 
kazi tamu sana hii.

NAMKUMBUKA MJOMBA WANGU, ALIKUWA NA BIASHARA KUBWA SANA KULE KIGOMA, MUUZAJI WA SPARE ZA MAGARI, MMILIKI WA GEREJI, MPAKA SHELI. MZIGO ANA AGIZA NA KUKODISHA BEHEWA MOJA LA TRELI MIAKA HIYO YA 1998.
BASI AKAKUTANA NA MWANAMKE, AKA MZALIA WATOTO WA KIUME WAWILI FASTA (KWENYE NDOA YAKE ALIPATA WATOTO WA KIKE TU).
SIMULIZI NI NDEFU ZA MATUKIO.
MPAKA KUFIKA 2015 JAMAA ALIKUWA DEREVA TAXI ANAPELEKA HESABU KWA BOSI WAKE, KWANI MALI ZOTE ZILIKWISHA KWA SBB YA WANAWAKE! ULE MCHEPUKO UNAMILI NYUMBA NA BIASHARA NA MJOMBA ALIFUKUZWA.
AKAWA MLEVI KUPINDUKIA, KWA SASA AMETANGULIA MBELE ZA HAKI.

KIJANA UKIWEZA KUHONGA WE HONGA TU!
Alikuwa na Makazi Dsm?
 
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.

Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.

Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.

Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.

Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.

Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.

Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.

Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.

Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.

Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.

Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.

Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.

Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.

Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.

Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?

Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.

Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Noted!!!! 2023 na ahsante...
 
Back
Top Bottom