Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Mjinga mmoja hawezi kuleta huo ujinga wake wa vikwazo.
Hakuna kitu cha maana cha kuwezabkuweka vikeazo eti kwa sababu ya Amsterdam,
Hiyo ni wasi wasi yako.
 
Mjinga mmoja hawezi kuleta huo ujinga wake wa vikwazo.
Hakuna kitu cha maana cha kuwezabkuweka vikeazo eti kwa sababu ya Amsterdam,
Hiyo ni wasi wasi yako.
“Usipende watu wanao kusifia tu,wengine wanakusifia ili uzid kuharibu kabisa”-JK (Lupaso),Soma US sanction law ndo utaelewa kazi za akina Amsterdam.Ni vyema Rais akawa mwelewa na mwenye kusikiliza otherwise Tanzania inaingia shimon baada ya uchaguz na muda wa kuweka mambo sawa unakuwa haupo tena
 
Haha, Amsterdam tena. Hivi wanadhani Lissu atapata nchi kupitia mwanasheria wake. Lissu made a very stupid move. Na huyu Lissu anataka kuiuza nchi, he's not to be trusted!
 
Wewe inaonekana Musiba na Le mutuz walikufanyia kitu kibaya sana. Haiwezekani kila coment unawataja.
Hao watu ndiyo walikwenda na Bashite Dodoma kumpiga risasi Lisu na pia ni wapika Majungu fitna uzushi propaganda wakuu wa CCM kwa wapinzani ni watu wabaya kwa usitawi wa demokrasia ndiyo maana nawataja kila kona kwani ubaya wote tokea CCM wanahusika kwa namna zote
 
CCM kuzaliwa upya ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? CCM kuzaliwa upya ni kupiga trilion 1,5 kisha kumtoa CAG kafara? Kuzaliwa upya ni Ndungai kupiga bilion 12 peke yake akiwa India?
 
This time police wametengeza ushahidi mzuri Sana wa kupiga mabomu utakaotumika wakati ukifika, hapa boss wao anachomoka vipi sasa kwa ushahidi huu.
 
Namkubali sana Jiwe Kwa kuto washobokea mabeberu

Tunakupa miaka 5 ya mwisho usikanyage Marekani Wala Uingereza ili utuachie historia

Maana kuna watu wanadhani huwezi kuongoza nchi bira ya kuenda Marekani na Uingereza kulia lia nja
 
Huyu ni wa kuswaga kama ng'ombe na kupeleka The Hague tu maanake hamna namna.
 
Dah! Ngoja tuone, ila sababu yeye ni jiwe mambo yataenda hivyo hivyo atakavyo yeye...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…