Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Good!

Hii barua, kwa upande mwingine, inamuanika vibaya sana Magu kimataifa.

Mtu huvuna apandacho!!
Kasome historia ya huyo Amsterdam halafu utajua sasa anaejianika hapo ni nani? Jiulize why Mbowe alimtahadharisha Lissu kutojihusisha na Amsterdam kwenye kipindi hiki cha uchaguzi.
 
Daaah jamaa yuko nondo sana yani data zote anazo, kuna vipengele vingine hata mimi raia wa hii nchi nilikua sina aware navyo lakini hiki kichwa kinayajua yote
Wanamuandikia halafu wanamtumia arekebishe lugha kidogo then asaini. Baadae inarudishwa kwa mabongolala a.k.a misukule inakuja kushangilia kwenye mitandao
 

Nzalendo 2015 kwani Alhamisi wiki ijayo ni mbali? Wito wangu ni Lissu asiachiwe akatoroka nchi, hilo tu. Eti 'the whole world is just seeing and watching....'

Which world are you reffering here? That cartel of insane individuals , Lissu, Robertson and the likes?!!!#tag Idiots.
 
Sasa hapo nani ni looser? Ni Magufuli au watanzania? Mnapoambiwa mkiona mgombea anaungwa mkono sana na wazungu ujue wana jambo lao. Wazungu hao hao wana msemo wao kwamba; There's no free Lunch. Huyu Lissu hatufai hata kidogo ni kibaraka kama walivyo vibaraka wa Libya na Iraq.
 
Wanamuandikia halafu wanamtumia arekebishe lugha kidogo then asaini. Baadae inarudishwa kwa mabongolala a.k.a misukule inakuja kushangilia kwenye mitandao
We ndio secretary wao?
 
Madhara ya kupiga mabomu mkutano wa kampeni hujayaona?CCM wanasaidiwa na polisi kutengeneza evidence kwamba wanakandamiza wananchi.Think big-Adui wa CCM ni smartphone na internet

Mnapotosha sana! Hakuna haki bila wajibu. Hakuna taifa linaloweza kusimama kwa kuacha kila mtu afanye chochote anachotaka. The police force is there to enforce the law. Ukikaidi maelekezo yao, wanayo mamlaka ya kutumia nguvu yoyote ambayo ni necessary to restore order!

Kwa ujumla, nyie mnadhani hata hiyo ICC ni baraza la wananzengo!
 
Hiyo haki na wajibu ni kwa upinzani tu?Kwa hyo unataka kuaminisha CCM ndo wafata sheria?
 

I am a Tanzanian, a true son of my beloved mother Tanzania! You're my brother but I am skeptical that you're from one of those small countries in Northern part of Tanzania like Rwanda,Burundi or DRC Congo where hooliganism and genocide is norms of the day!!

But for a true son of Tanzania as groomed by the Father of our Nation, the Late Mwalimu JK Nyerere will NEVER entertain these rubbish and nonsense being practices by Magufuli and his dirty government machinery......Never!!!
If at all come 28th October, this country is gonna errupt in a turmoil.....Mr. Magufuli and his whole system will be held responsible for each and everything.... There'll be no chances of escape!!
Just stay tuned.
God bless Tanzania and his true sons and daughters! Amen🙏
 
Daaah andika kiswahili tu maana hii english ni ya kugoogle sijui
 
Aisee.

No one knows tomorrow.

Tunaweza kusoma alama za nyakati na kujaribu ona yatarajiwayo kutokea ila hatuwezi kuwa na uhakika wa nani hasa atachukua nafasi ya kuongoza nchi.

Tuache kauli za kujihakikishia ushindi, anything can happen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nobody cares about that idiot. Tanzania is our country and you will not do anything to anybody, ''mark my words.''

You idiot,
Do you think in your tiny and small brain that Tanzania is an Island somewhere hanging in the air? Basically Tanzania is part of this world, that is obvious.
Tanzania is a member of the World organizations like the UN, WHO, WB, UNESCO, FAO, IFM just to mention a few. Tanzania needs more the World community than the World needs Tanzania,,,,!!!
Do you know something called sanction and an embargo???
If you don't know consult your search engine Google with reference to Zim and SA during the Boers regime!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…