Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Kumbuka hata nyerere kwenye kesi zake za uchochezi alitumia wanasheria toka Uingeleza
Wakati huo Tanzania ilikuwa koloni la mwingereza na mahakama zilikuwa za mwingereza ndio maana alitumia mawakili waingereza
 
Stupid people like you have made Africans be treated badly by white people. Whatever you learned did not educate you, you're just like a lost dog in your own country.
Madini, utalii wateja ni watu kutoka nje ya Tz.
silaha, technolojia, ndege, magari, mafuta n.k wauzaji ni kutoka nje. Matusi ya nn kwa huyo aliyekuambia Tz tunahitaji dunia? Hivi tunajua maana ya uzalendo? Mtu kavaa boxer kutoka nje ila kelele nyingi.
 
Daaah jamaa yuko nondo sana yani data zote anazo, kuna vipengele vingine hata mimi raia wa hii nchi nilikua sina aware navyo lakini hiki kichwa kinayajua yote
LISU ndie kaandika akampelekea AMSTERDAM asign
 
Kama Lissu ni mzalendo, basi tupo watu wengi sana ambao hatujui maana ya neno mzalendo. Nijuavyo mimi, mzalendo ni muumini wa falsafa ya Taifa Kwanza. Sijawahi kuona mzalendo anayehujumu taifa lake, kwa maslahi binafsi!
Hawa Mayanga Construction wanafanya kazi ya kujenga taifa?
 
Huo muda anaotumia kuandika hizo insha ni heri angetafuta hata kibarua cha online freelancing.

Nina uhakika hao anaowaandikia hawana hata huo muda wa kusoma huo ugoro!
 
Nenda ulaya,ingawa najua hutaweza kufika huko mpaka kiama.
Tunataka wazungu waje hapa hii ni nchi yangu nina Uhuru wa kuiuza au kuitumia mbona nyie mmeiuza kwa Mrundi anaua watu wetu hapa Sasa sisi tunauza kwa wazungu wanaojielewa nyambaaaf nyie
 
Huo muda anaotumia kuandika hizo insha ni heri angetafuta hata kibarua cha online freelancing.

Nina uhakika hao anaowaandikia hawana hata huo muda wa kusoma huo ugoro!
Wanao andikiwa wataelewa pale watakapokuwa wamevishwa headfones za mahakama ya The Hague huku wakiwa chumba Cha kujibu mashtaka yote ya wazimu wao kwetu. Wewe umeshiba mihogo na makande endelea kumbaja hapo ukistuka uko Jela la Guantanamo farasi mweusi
 
Magufuli ni rais atakayekuwa wa kwanza kutawala awamu moja ndani ya taifa letu zuri.
Amewagawanya watanzania
Amewadharau watanzania
Ameharibu mfumo mzima wa taifa letu huku mambumbumbu machache yakimkenulia meno!
Wengi wamekufa mazingira ya kutatanisha kwenye serikali yake
Kawafunga wengi kisiasa
Serikali yake imetetea ushoga mchana kweupe pee kwa kujitenga na operesheni ya makonda ya kuwasaka mashoga, serikali yake ikaandika barua ya kujitenga na lengo la makonda na ikakiri kwamba mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania [emoji17]
Katumia vibaya hazina ya tsifa na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma kwa kiwango cha kutisha!
Amevuruga demokrasia
Kala fedha za rambirambi za watu wa Kagera
Kaliingiza jeshi la polisi na jeshi la wananchi kwenye siasa zake za majitaka

Hatufai hata kwa mwezi mmoja huyu mtu!
Watanzania wapenda haki pamoja na watu wote wapenda demokrasia wamemkataa
Una ushahidi kwa haya uliyoongea ?
 
Ni aibu sana kwa Chadema kumtumia huyo jamaa hasaidii kitu ndio kwanza anakipeleka chama shimoni!
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Wanao andikiwa wataelewa pale watakapokuwa wamevishwa headfones za mahakama ya The Hague huku wakiwa chumba Cha kujibu mashtaka yote ya wazimu wao kwetu. Wewe umeshiba mihogo na makande endelea kumbaja hapo ukistuka uko Jela la Guantanamo farasi mweusi
Hiyo the hague ni kwa ajili ya waafrika pekee? Marekani ilitishia kuwawekea vikwazo waendesha mashtaka wa ICC baada ya kutaka uchunguzi ufanyike against war crimes committed by US in Afghanistan. Sisi tukipelekana huko sawa ila wao hapana.... Tutashikwa masikio mpaka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni miongoni mwa wasio na chama, ila kwa barua hizi za kuingilia uhuru wetu toka nje ya mipaka yetu, kura yangu nitampigia Magufuli kwa kweli.

Hii ni dharau kwa uhuru wetu.
Uhuru upi uliopo Tanzania? Tanzania hakuna uhuru sasa kuna Mkoloni mweusi kaburu, ukitaka kujua haupo huru tumiwa pesa toka nje ya Nchi uone BOT wanavyokupora ndipo utajua Tanzania siyo Nchi huru, Uhuru upo Kenya Zambia Uganda na Nchi zingine ambapo Bank kuu hawampori mtu pesa zake na hukuna kubambikiwa kesi kesi wala kupigwa risasi uonevu unyanyasaji kama wa CCM
 
Dunia ni kijiji mkuu,Uhuru kenyata aliliongelea hili chato,huwez ukaishi chato Alafu ukataka dunia nzima iishi kwa Mawazo ya chato-Lissu Ana exposure na Yupo sahihi sana-haiwezekani wachache waamulie wengine juu ya haki ya uhai,Hii ni kazi ya Mungu tu.
Kwa wajinga tu!

Na hukuelewa hata maana ya dunia ni kijiji!
Kwahiyo ukiishi chato unakuwa uko kuzimu? Hizi fikira zenu za kipumbavu ndio zinafanya mshabikie hata ujinga.

Amsterdam anamounguzia Lisu kura, ila wajinga hawaelewi hili. Afrika hii huwezi kupiganiwa na mzungu uwe rais ukategemea utaungwa mkono.
Utaungwa mkono na kakikundi ka wajinga wenzio wachache sana.
 
Hiyo the hague ni kwa ajili ya waafrika pekee? Marekani ilitishia kuwawekea vikwazo waendesha mashtaka wa ICC baada ya kutaka uchunguzi ufanyike against war crimes committed by US in Afghanistan. Sisi tukipelekana huko sawa ila wao hapana.... Tutashikwa masikio mpaka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika ndipo kuna vituko mfano sasa utawala wako kutwa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi wanawezaje kuikwepa ICC? Safari hii CCM lazima wafikishwe ICC The Hague hakuna namna wataikwepa
 
Uweke hapa kila mtu aone
CCM hawapewi ushahidi wowote kwani CCM hawaishi kwa Akili zao wanatumia Akili za polepole cyprian Musiba na wengi huishi kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM ni vigumu kuwapa ushahidi wakaufanyia kazi.
 
Hayo yapo mikinoni mwa Rais Magufuli
Libya Sasa hivi wale vijana waliokua na kiburi kama kheri james wapo jela wanafanywa vibaya wengine ni wakimbizi
Afadhali Libya kuliko Tanzania ya akina James
Mtu kama wewe unatafutwa alafu unapelekwa unapostahili
 
Back
Top Bottom