King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,351
Vibaraka wa mhutu mnavyohangaika mtandaoni utafikiri mtazuia maamuzi yoyote ya bunge la umoja wa ulaya . Hivi mlishapandishiwa malipo nini kutoka buku saba .Baba yako , mama , Kaka ,dada, babu ,bibi ,mjomba , shangazi , ndugu zako wanaishi maisha ya mateso makubwa kutokana na ufedhuli wa utawala huu wa ccm , wewe Pimbi unashagilia kiss unalipwa buku saba na ccm ? Hizi ni akili matope ?Hizi ndio akili za kitumwa kumuona mzungu kama vile ni kiumbe wa sayari nyingine.
Trump anawafanyia fujo wamarekani wenzake, watu weusi wananyongwa kwa magoti ya polisi na kupigwa risasi, nani anayemfungulia kesi Trump huko ICC?.
Lisu katupeleka Berlin Conference si uliona kampeni akisema madini yetu atayaweka rehani kwa akina Karl peters wazungu Chadema na yeye wakishika nchiYani Mambo ya Afrika yajadiliwe na mzungu tupo Berlin conference
Congratulations Advocate !!!Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Nafikiri wanajaribu kupeana faraja,maana wanamaumivu, hawakutarajia kilichotokea,ukitaka kujua wanamaumivu inshu yeyote mbaya kuhusu nchi yetu wanashangilia hao utafikiri wao wanaishi Paris,hii kitu utafikiri mtu aliyeachwa na mpenziwe mara nyingi hua wanatabia hizi Kila baya litakalo mfika hufurahi sana aliyeachwa akifikiri kitabadilisha kitu kumbe hola.tuwahurumie tu[emoji2] wanamsongo wa mawazo.Kwanza walidai kaalikwa bunge la EU, Lissu mwenyewe akakanusha, hivyo Hawa wafuasi wa huyu bwana ni wakupuuza tu, ukiona post yao wewe isome alafu tabasamu kisha kunywa maji barid na uendelee na kusoma reply zao huku ukifurahi wanavyo jipa moyo.
Wenzio wanahaha wapate viti maalumu ili wapate msaada we unasema mnajimuduUkiona nchi imejisimamia na kugharamia uchaguzi kwa pesa yake ya ndani, na Amani ikatamalaki. Haya mamisaada unayoyategemea peleka kwenu huko Ufipa period over
Mpe vidonge vyake Wezi wakubwa hao wa Kura !!!!Unawapangia cha kujadili kama nani we pimbi
Tundu Lisu ndio modern day Chifu Mangungo na Robert Amsterdam ndie Modern day Karl Peters na BUNGE LA ULAYA ndio modern day Berlin ConferenceYani Mambo ya Afrika yajadiliwe na mzungu tupo Berlin conference
Naona Sasa wewe imekuwa ndiyo msemaji wa watanzania!Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Hata sasa huko Zanzibar wanaishi kama Libya.Naona Sasa wewe imekuwa ndiyo msemaji wa watanzania!
Ya Libya tunayajua, na waliosababisha tunawajua, kifupi watanzania ni waelewa sana
tena huo uharamia ni lazima wafike ICC ili watie adabu, wanafikiri wanaweza kuwatesa wananchi wakatakavyo sababu tu eti waendeee kuwatawala ki mabavu.Ni kama nyie mnaotetea uharamia uliofanyika Zanzibar na baadhi ya maeneo huku Bara.
JK anafurahia hadi mdadi.. ha ha haHapo pembeni kuna kipeperushi kimeandikwa "hapa kazi tu"!View attachment 1628910
Ujinga ni kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetaniUjinga ujinga fulan hivi amazing,
Kwani wasipotambua tutakufa au au EU ndo rohoza waafrica.Ni pigo kwa CCM sababu azimio mojawapo lililo mezani ni kutoitambua serikali hii iliyoundwa baada ya uchaguzi mkuu uliopita kwamba haukuwa HURU na HAKI. Sasa hapo ndipo itakuwa mwisho wa nyodo na ubabe wa CCM kuitawala Tanzania kimabavu.
nawe unafaa kuolewaSalary unasubili nini tanzania si uende huko kwao unao waabudu mkaoane huko?
Wakikuchoka wapige goti upumue kwa shida.
Mara nyingi utakuta nyie bado mnaishi kwa dada zenu ndo maana hamjui hata thamani ya uafrika wenu.
CHADEMA wanajitekenya wenyewe! Wanacheka wenyewe maisha yanaendeleaAmeandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Kuna vitu vitatu vinachekesha sana kwenye hii katuni:JK anafurahia hadi mdadi.. ha ha ha
Na Kuna mgogoro Ethiopia, mkubwa kuliko wetu.Bunge la Ulaya, siasa za Tanzania!
Mgogoro wa Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya unawatoa jasho, wataweza siasa za Tanzania kweli?