Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Huyu Bob anawadanganya sana .Eti kesi. Hakuna cha kesi wala nini. Hata akifungua nothing will happen. As far as Watanzania wapo na amani na yanayoendelea hapa nchini.
 
Reactions: len
Amsterdam should go away. He has earned his money from those who sent him. Tanzania is not fo sale.
 
Armsterdam wanaganga njaa tu kwa wajinga. Wenyewe wanajua hakuna kesi yakwenda ICC kwa Tanzania. Kama ana njaa ya kesi kwenda ICC angeanza na kina Bush wa Marekani kwa mauaji ya watu huko Afghanistan, Iraq na mahali kwingine chungu nzima.
 
Unaesema ICC ni watu wapuuzi, alafu unasema hawashitushwi na vifo vya watu wachache, kwa hiyo kuuwawa watu wachache siyo kosa, kosa kwako wauwawe binadamu wangapi? Aisee we jamaa ni pompompo kabisa
 
Uhai wa watu hauna mbadala, tulia dawa ikuingie vizuri shetani mkubwa wewe
 
Armsterdam wanaganga njaa tu kwa wajinga. Wenyewe wanajua hakuna kesi yakwenda icc kwa tanzania. Kama ana njaa ya kesi kwenda icc angeanza na kina bush wa marekana kwa mauaji ya watu huko afghanistan iraq na mahalu kwingine chungu nzima.
Wenzenu wanafanya mauwaji nje ya nchi yao kwa faida ya nchi yao, Nyinyi mnafanya mauwaji ndani ya nchi yenu na mnauwa raia wenu et kwa faida ya mtu mmoja ili akae madarakani hata kama halipendwi
 
Hayati Mkapa alishitakiwa wapi wakati na baada ya Madaraka yake?

Acha wajinga waendelee kukipata wanachokihitaji na Taifa ili liende mbele lazima tu baadhi Yao wafe na ndo Maana hata hao USA mnawaona watenda haki kwenu, kila siku wanaua kwa usalama wa Taifa Lao.

#Kifo Cha Gen. Suleiman Q. Wa Iran
#Kifo Cha Gaddafi wa Africa
Na n.k
Wote hao waliua kwa usalama wa Taifa la Marekani kwahiyo siyo mbaya hata Tz wakiuawa wapuuzi Wachache ili Taifa libakie kuwa salama.
 
Kamanda tupe mrejesho wa "Maandamano yasiyo na kikomo"
We upo mtaa gani?
Rusha hata kapicha wazungu watuone.
 
Inawezekana jamaa asitambulike kimataifa...aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…