Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye



Enheeeeeee, Ruge tena? Hapa huyu dogo atakuwa kahusika na dili Fulani tu la kukamatwa Roma.
 
Swadakta. Muda utaongea.
Mwisho wa ubaya aibu.
Kama watakuwa wameshiriki..... Imekula kwa Wengi.
 
Hiki ni kizungumkuti. Jambo limejisokota hata halieleweki. Ngoja tusubiri hiyo Jumatatu tusikie.
 
Nlipata mstuko na Roma alikuwa anasema bila kuficha anamshukuru ruge I was ruge? How mbona boss wake wa tongwe sio ruge.....nikasema kuna picha kubwa nyuma ya pazia

Polisi inabidi kwanza imshikilie huyo anayedai ndo Boss wake (Ruge)anajua kila kitu mpango wote WaTz wasitufanye wapuuzi na nakumbuka hata swala la Mh.makonda la clouds walivujisha video moja akiwa anaingia ila hawakutoa video ya ndani kutuonesha nini kilikuwa kinafanyika..
 
Bashite hachelewi kukudhoofisha au kukupoteza. Kwa yaliyomkuta Manji simshauri Ruge kujiingiza ktk vita na Bashite
What next ...?....ukiijua tz haikupi shida .
Rugee?
 
Roma: "Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi
mpaka sasa yupo pamoja nasi" kwa maana hiyo walikua wote huko walikokua? kama hawakua wote alijuaje kama Ruge alikua anahangaika nao tangu asubuhi?

Ukirejea kauli ya Makonda "kabla ya J2 Roma na wenzake watapatikna" means alikua anajua walipo.

Makonda na Ruge sasa hivi ni maadui....najaribu kuunganisha dots hpa napata shida sana kuelewa nani Stelingi nani jambazi....!

[HASHTAG]#AchaNikaeKimya[/HASHTAG]
 
Ruge hkuenda tongwe,aliend kituo cha polis oysterbay
 
Mkuu, kwa hiyo Ruge anapaswa kuwa ndani akiisaidia police. Kwamba inawezekana yeye ndo mhusika mkuu ambae alisuka huu mpango Mzima ili kumchafua mtu fulan lakin issue imebuma,

Sisi tueleweje sasa kama mtu amepotea kwa kutekwa kias kuwa vyombo vya dola havijui alipo then kumbe kuna mtu alikuwa anajua walipokuwa watekwaji na alikuwa anahangaika nao siku Mzima, kivip yaan. Hiyo inawezekanaje yaan. How??

Hawa drug dealers wasitufanye sis kuwa mbumbumbu tusioweza Ku reason mambo. Watu wanawezaje kutekwa, watu wazima then, warudi wakiwa wazima halafu et kuwa kuna mtu mmoja alikuwa anahangaika nao.

Kwanza mwanzon tuliambiwa kuwa Simu ya Roma nilikuwa inaita na whatsapp alikuwa anaonekana yuko online, inawezekana vipi mtu yuko mikonon mwa watekaji halafu anaonekana anachat on line.

Ruge aseme wazi kuwa anahusika vipi na watekaji. Alijuaje kuwa akina Roma walipokuwa. Alikuwa ananegotiate nini na watekaji. Watekaji walikuwa wanataka nn.

Msitufanye sisi hatuna akili, kule Kongo kuna mtanzania ametekwa na watekaji wamesema wazi kuwa wanataka dola million moja. Akina ruge wanafanya michezo ya kitoto
Kwahiyo Ruge anawajua watekaji...Haya ngoja tusubili hiyo jumatatu..
 
Ukweli huu utakuudhi, kwani sivyo unavyofikikir.Ila usiwaponde [emoji16]
 
wanaume tunakuaga majasiri kabla hatujapata familia na wategemezi
 

Clouds sio TBC kwanini ukadhulumiwe Wakati zipo Radio nyingi? Ndo Yale Yale ya Bashite kulalamika kwanini Hawajarusha 'kipindi' chake!!
 
jamaa nilimuona yupo hoi anachechemea inawezekana wamempa kipondo cha haja halafu anaongea kama amerukwa akili kimtindo wasije kua wamembusti kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…