Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Ameitukana Jamhuri KWA hicho alichosema!!

Kwani alietaka kuniingizia jpm madarakani sio Jamhuri!!?

SASA kama jamhuri iliwatuma watu wamuondoe slaa chadema WEWE ni nani wa kuikosoa!!?

Hujui BAADA ya wanamtandao kupenya ikulu 2005 WENYE mfumo walianza kuzuia madhara MAKUBWA ya hao jamaa kuhodhi nchi HAPO 2007 hadi wa kumng'oa Lowasa KWA kupitia dr slaa!!?na pinda akapenya!!?


Rostam kavumiliwa sana na MFUMO angejikalia tu kimya!mfumo umemlea sana hana haja ya kuukosoa na kuunanga!!!

kameza ndoano ngoja waanze kuvuta lazima utumbo utatoka tu!!
 
Wanahamisha magoli .....hawa tusahau tuhamie malumbano yao
 
Kama Kuna Mungu basi CCM wengi wataingia Jehanam . JPM amefanya KAZI kubwa sana ya kurejesha Chama madarakani Tangu 2015 hapakua na MTU Wa kugombea na kushinda Ndani ya CCM. 2020 hapakua na Mbunge Wa kushinda Ndani ya CCM.
Leo CCM Hao Hao wanakaa kimya wezi wanamtukana MAGUFULI na kuiuza nchi Kwa dharau kubwa sana.
Yuko Wapi Dr. Bashiru Ally.
Yuko Wapi Komredi Hamphrei Polepole.
Yuko Wapi Job Ndugai.
YUPO Wapi Paulo Makonda.
Yuko Wapi Cyprian Musiba?
Wakowapi watanzania wanyonge wanaokosa dawa mahospitalini na kufokewa maofisini Kwa dharau kubwa Kwa wakati Huu ?

2025 CCM isirejee Hata Kwa Katiba hii.
Na Kwa Kariba hii hii CCM italipizwa kisasi humu humu Duniani Kabla ya kinyama
 
Oh kumbe ccm ilimuhonga! Ebo! Kama ndivyo, ccm ni watoa rushwa, na hivyo wala rushwa. Hivyo inabidi tuamini pasipo shaka kuwa ccm wamehongwa na dpworld, rostam katudhihirishia leo
 
Laiti Kikwete angetuachia katiba ya Warioba Leo hii nchi yetu ingekua na maendeleo makubwa kutokana na uadilifu Wa JPM .
Kilichomzuia JPM kuitisha kura ya maoni kupitisha hiyo katiba nzuri ya Warioba ni nini ?
 
Huyu jamaa kwann kaibuka sana wakati huu
Unauliza hili kwa kutaka kujua, au kwa kudadisi tu?

Huoni hii serikali ya Samia ni serikali yao hawa watu?

Ingeshangaza sana kama usingesikia akisema kitu. Na bado, sasa ndiyo tutaendelea kuwaona hawa watu wakijipambanua ni akina nani hasa.

Hawa ndio watawala wa nchi sasa hivi. Akina Samia ni picha tu za mbele, kabla ya kuwafikia watawala hawa.
 
Yaani nikae kabisa nalisikiliza hili jambazi la kiiran??
 
Barack Obama unamjua?
Waziri mkuu wa Uingereza wasasa unamjua?
Unajua maana ya primitivity?
 
Rooo sio tam una usafi gani hapo ulipo docter slaa pigs kazi mhindi huyo kikinuka hapa ndugu zake wapo imdia bombay sisi kwetu hapa hapa Kara tu
 
Kuhongwa?? Yeye hajui kuhonga??

Damu nzito kuliko maji aisee, tupo na Dr. Slaa . Mambo mengine ni struggling tu za kisiasa za mtu binafsi. Sisi tunazungumzia jambo la kitaifa
Hata la Dr Slaa ni la kitaifa. Mtu aliyekaribia kuwa Rais wa Tanzania, acha wamjuae vizuri wamvue kanzu yake. Na kwa habari hii, asijidanganye tena kurudi kwenye Siasa. Ni mtu hatari sana huyu Dr Slaa. Vipesa kidogo tu kaiuza CHADEMA, Je akikutana na akina Bill Gates? Aondoke shetani huyuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…