A HUMBLE LEADER
Senior Member
- Sep 21, 2022
- 138
- 343
Ameitukana Jamhuri KWA hicho alichosema!!Leo mtu mkubwa sana ambaye kapata kushika vyeo vingi CCM na kuwa Mbunge na pia ni mfanyabiashara mjanja mjanja ametamka kwenye press kuwa walimhonga Dr Slaa kwa vile alikuwa anawapelekesha na sasa wamemtosa.
Kumbe CCM inayopinga rushwa (kama ahadi ya chama ya sipokei wala kutoa rushwa) ndiyo kinara wa rushwa na inagawa mpaka vyeo, jee hawa watu wanastahili hata kuwasikiliza?
Tupewe ishara gani kutambua kuwa umasikini wa watu wetu chanzo ni hawa watu? Tumelogwa?
View attachment 2669613
Kwani alietaka kuniingizia jpm madarakani sio Jamhuri!!?
SASA kama jamhuri iliwatuma watu wamuondoe slaa chadema WEWE ni nani wa kuikosoa!!?
Hujui BAADA ya wanamtandao kupenya ikulu 2005 WENYE mfumo walianza kuzuia madhara MAKUBWA ya hao jamaa kuhodhi nchi HAPO 2007 hadi wa kumng'oa Lowasa KWA kupitia dr slaa!!?na pinda akapenya!!?
Rostam kavumiliwa sana na MFUMO angejikalia tu kimya!mfumo umemlea sana hana haja ya kuukosoa na kuunanga!!!
kameza ndoano ngoja waanze kuvuta lazima utumbo utatoka tu!!