Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Na vipi waliofuta tuhuma walizokuwa wanampa lowassa kwa miaka zaidi ya 8 then wakampa kijiti walipewa nini?
 
Babu zake walikuwepo tabora zaidi ya miaka 150 iliyopita,bendera ya uhuru ilipopandishwa kila aliyekua ndani ya Tanganyika alikua mtanganyika,unaandika mengi hivi pengine babu zako walitoka Malawi
 
Na vipi waliofuta tuhuma walizokuwa wanampa lowassa kwa miaka zaidi ya 8 then wakampa kijiti walipewa nini?
 
La muhimu ni bandari!
Naona jamaa katimiza lengo ashawatoa vijana kwenye reli badala ya kujadili mkataba wa sasa watahamia kwa slaa. Wanasahau kwanini bwana rostam anatumia nguvu sana na mbona yeye akienda kupongeza jpm ikulu akasema anafanya poa hakusimama kumwambia haya ya kuhonga akina slaa?
Tubaki pale pale, mkataba wa bandari
 
Kila siku tunasema mahakama zetu ni uchafu, ccm wanasema ziko huru. Haya hadi mafisadi wa CCM wanakiri hilo tena hadharani.
 
Chadema hawanaga akili ndio sababu Zitto Kabwe anawadharau!
 
Dr Mihogo alihongwa tu
 
Na vipi waliofuta tuhuma walizokuwa wanampa lowassa kwa miaka zaidi ya 8 then wakampa kijiti walipewa nini?
Tumpigie simu Jiwe aliyeamua kumrudisha ndani ya ccm mtu ambaye uvccm mlikuwa mnakesha mkimtukana
 
Hamna watu hatujielewi kama watu weusi, upo sahahi, watakuja mazwazwa watakwambia na yeye ni Mtanzania analipenda sana hili taifa. Hawa jamaa wamepora sana mali za taifa hili. Infact utajiri walio nao umetokana na wizi waliofanya toka enzi hizo.
 
Tumpigie simu Jiwe aliyeamua kumrudisha ndani ya ccm mtu ambaye uvccm mlikuwa mnakesha mkimtukana
Mimi si UVCCM na wala si mmoja wa wafuasi wa JPM, kwa hiyo rostam ambayw naye alikuwa kwenye list of shame yenu naye leo amekuwa msema kweli?
 
Babu zake walikuwepo tabora zaidi ya miaka 150 iliyopita,bendera ya uhuru ilipopandishwa kila aliyekua ndani ya Tanganyika alikua mtanganyika,unaandika mengi hivi pengine babu zako walitoka Malawi
Endelea kujidang'anya ni mtanzania mwenzako. Just bcz amezaliwa hapa.
 
Babu zake walikuwepo tabora zaidi ya miaka 150 iliyopita,bendera ya uhuru ilipopandishwa kila aliyekua ndani ya Tanganyika alikua mtanganyika,unaandika mengi hivi pengine babu zako walitoka Malawi
Acha kudanganya watu wewe Rostam wala baba zake hajawahi kuwa watu wa Igunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…