Rostam Aziz: Hakuna mwekezaji atakubali kuwekeza halafu umwambie aende Mahakama ya Kisutu ambapo Majaji wanaweza kupigiwa simu na watu wa Serikali

Bilionea Rostam ameamua kumwaga upupu ili waliomo ndani wajitokeze.

Ametoa shutuma kubwa ambazo wahusika inabidi wajitokeze kukanusha ili kuweka mambo sawa.

Je huu mchezo kuna msimamizi nyuma ya pazia?
 
Kumbe sisi wananchi tunakubalije haki zetu kusimamiwa mahali hapo? Ninaona wazo la katiba mpya sasa.
 
Bilionea Rostam ameamua kumwaga upupu ili waliomo ndani wajitokeze.

Ametoa shutuma kubwa ambazo wahusika inabidi wajitokeze kukanusha ili kuweka mambo sawa.

Je huu mchezo kuna msimamizi nyuma ya pazia?
View attachment 2672588
hizi shutuma nzito sana kwa mahakama Yetu.inabidi ajieleze kama ana ushahidi.ameonyesha kuwa Tanzania hamna haki unayoweza kupata kupitia mahakama zetu.pia siyo sawa kwa serikali yetu
 
katiba mpya ni sasa bila kusahau kupaza sauti mkataba tata wa bandari zetu
 
Mimi naona amesema ukweli japo ni mchungu. Mahakama yetu ijitafakari. Mifano ipo mingi hata kesi ya mbowe kama sio Samia huenda hata sasa ingekuwa bado ipo mahakamani.

Muhimili wa mahakama unawatu waogawaoga sana sijui kama wanaelewa thamani na hadhi ya chombo chao.

Hongera Rostam umesema ukweli ambao hakuna mwenye nguvu ya kuusema hadharini ukasikilizwa.
 
Tubadilike mahakama ijitafakari wakatae maekekezo ona wanavyotukanwa kunajisiwa
 
Bilionea Rostam ameamua kumwaga upupu ili waliomo ndani wajitokeze.

Ametoa shutuma kubwa ambazo wahusika inabidi wajitokeze kukanusha ili kuweka mambo sawa.

Je huu mchezo kuna msimamizi nyuma ya pazia?
View attachment 2672588
Kwahiyo na yeye hana imani na mhimili wake, anasema Kisutu mtu anampigia Jaji... hii ni dhahiri sasa nchi inatakiwa kusambuliwa isukwe upya
 
Bilionea Rostam ameamua kumwaga upupu ili waliomo ndani wajitokeze.

Ametoa shutuma kubwa ambazo wahusika inabidi wajitokeze kukanusha ili kuweka mambo sawa.

Je huu mchezo kuna msimamizi nyuma ya pazia?
View attachment 2672588
Shida ya wanasiasa wanaamua kumislead watu kwa faida yao wenyewe.
Arbitration hata Mimi naweza nikaitumia na Mmatumbi mwenzangu, kutatua migogoro yetu na katika mkataba tukaamua migogoro ikasikilizwe Ghana...
Ni kitu kidogo sana sema ameweka siasa na kutaka kugusa hisia za wasiojua hayo mambo.
 
Familia ambayo haina Baba Imara mtoto anabweka, Mama anabweka Wajukuuu wanabweka, Wageni wanabweka baaasi ni tafrani. Lkn familia yenye baba imara hakuna sauti isikayo nje ya boma kuzidi ile ya Baba!
Tanzania Nchi yangu niliahidi kukulinda kwa Jasho na Damu lakini kuna Panya, Viroboto, Utitiri, Kupe, Inzi wanaunguruma na kukuzengea na HAUNA MKONO WA KUPANGUSA HAWA PARASITE.... Hakika hawa Parasite umefika wakati wa kuwapangusa!
 
Hakuna namna ya kuwagusa hao wadudu wote uliowataja
 
Shida ya wanasiasa wanaamua kumislead watu kwa faida yao wenyewe.
Arbitration hata Mimi naweza nikaitumia na Mmatumbi mwenzangu, kutatua migogoro yetu na katika mkataba tukaamua migogoro ikasikilizwe Ghana...
Ni kitu kidogo sana sema ameweka siasa na kutaka kugusa hisia za wasiojua hayo mambo.
Sasa tufanyeje na anayafanya hayo kwa manufaa ya nani na nani anamlinda?
 
Back
Top Bottom