FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #61
Resilience.Let r ya pili mh[emoji120]
Hii kwa kuitafsiri kiuchache ni; kila tatizo kulifanya liwe fursa. Siyo kuliwacha hanging.
Mtu mwenye falsafa hiyo, wewe kila unapompigia kelele za matatizo, yeye anazichukuwa na kuzifanya fursa kwa vitendo. Ndiyo maana anasema "mimi kiya tu".
Ile kichwa kubwa sana kupita maelezo. kama hajasikia matatizo anayatafuta yako wapi, kishaamuwa na anaelewa kuwa "No problems No opportunities"
Hiyo ndiyo Resilience kwa uchache. Ni Falsafa kubwa sana.
Pale Kikwete mwenyewe anakaa chini.