TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Yani bora umeamua kuweka hyo roho yako ya paka nyuma , maana kitu ambacho kingekutokea usingeamini macho yako, hizo show zake za Mia mbili ungepiga na kujisikiliza mwenyewe. Naona michambo ya juzi umeipata na imekuingia haswa, maana hii Tanzania ungeiona chungu, yani Leo nimekupenda upya huyu Ndo lady jaydee tunayemtaka, utawekaje bifu na marehemu? Tena ambaye alikusaidia mpaka ukawa lady jaydee, yani bora umejisalimisha, maana watu wangekuogopa kabisa , maana hata wachawi wakiua wanaenda kujinafikisha msibani Sasa wewe sijui tungeikuita nani .

Safi sana kusikia umeenda kumzika boss wako, yani hapa roho kwatu, na nyie mbwa mliokua mnapiga kelele kushadadia naona yamewashuka leo mxiew mbwa zenu nyie kazi ku support ujinga tu , hata mwenzenu kaenda semeni Tena mxieew . Ila juzi nilikuchamba shost . Sikukubakisha hata mxiew mie Ndo warumi [emoji16], haya nisamehe bure nimerudi kuwa Shabiki yako kama zamani

Mimi sio team mavi mavi, boss akikosea unasifia kila kitu , hapa unapata michambo vizuri yani tena kama sijawahi kukujua. Sitakagi ushabiki wa kishamba Mimi .

Haya useme tena you don't care mxieww , Leo commando kawa kama piliton🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
51276130_778281822550491_2583706927634022337_n.jpg
PICHANI Akiwa Na Mwanafa Baada Ya Kuwasili Uwanja Wa Ndege Wa Bukoba Mapema Leo Asubuhi .
 
Mwili wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba tayari umefika uwanjani Gymkhana hapa Bukoba kwa ajili ya sala na salamu za mwisho.
52105087_1036975769836196_89108526882502523_n.jpg
52280215_369364340459060_8648314079978694071_n.jpg
52076018_116118042867775_5738764185065101432_n.jpg
 
Familia imeshaomba msamaha na juhudi binafsi za watu fulani zimesaidia jaydee kuonekana hapo
 
Akili yako haina akili wewe imani yako ni Uislam inabidi tui heshimu na wengine ni Wakristo inabidi pia tui heshimu wengine kama sisi imani yetu ni ya ki Afrika inabidi tu heshimiwe na wengine hawana dini.. kwa kutojitambua unataka watu wote wafanane wawe waislamu..
Mkuu hapo naona ulikua unatafuta sababu tu ya kumnyea huyu mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanamtesa tu mwenzao kwa kumuangaisha toka alivyokufa mpk leo hawajui km jamaa anaumia na kuteseka kinachotakiwa wamzike akaonane na mola wake sbb amemuita wakaisabiane yalio mazur na mabaya yake, mwanaadam akishakufa hana tena thamani ya uwepo wake hapa dunian,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado kuna watu watahoji kwa nini kavaa kisela,ngojea waje wazee wa lawama.
 
Back
Top Bottom