Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

Sometimes talent beats school/college certificate holders. Kuna wasomi wengi ni bure kabisa katika utangazaji.
Hakuna talent itakayo beats certificate kwenye hard news, kwenye habari ngumu unahitaji mtu aliyeenda shule vizuri na mwenye experience ya taaluma au kazi fulani, kwenye entertainments na udaku talent ndio inaweza kuwa muhimu zaidi.

Angalia waandishi wengi wa habari wa sasa hivi, grammar/sarufi ni sifuri, hawana tofauti ya L na R, kuuliza maswali hawawezi n.k wako wako tu.
 
Mkuu Yoda,Kuna watu wanadhani talent ndo kila kitu kwenye uandishi wa habari,jambo ambalo sio kweli Kuna hii kitu "investigative journalism" huwezi fanya ukiwa hauna abc za uandishi wa habari au "investigative reporting" lazima uwe na taaluma husika.

Siku hizi kumejaa yellow stories kwenye vyombo vyote vya habari na sycophant reporting,alafu mtu anakuambia ndo talent.
 
Jua kutofautisha habari na taarifa ya habari,kila mtu anajukumu la kupata na kusambaza habari,lakini sio kila mtu anajukumu la kupata taarifa ya habari na kusambaza.
Sasa hao wenye majukumu wameshindwa kutoa hizo habari ? Narudia tena the industry has changed kuanzia ulaji wa habari hadi utafutaji na upatikanaji kwahio ni jukumu lako wewe mlaji kuweza kutafuta habari zenye authenticity..., Kwahio narudia tena muda / wakati / walaji vyote vimebadilika ndio maana nakwambia miaka kadhaa hapo nyuma neno Citizen Journalism lilikuwa halipo;
citizen journalism, journalism that is conducted by people who are not professional journalists but who disseminate information using Web sites, blogs, and social media.

Kwahio hata wewe unaweza ukawa Mwanahabari kuliko aliyepo huko TBC; na hata audience yako ikawa kubwa kuliko yao...
 
Hakuna talent itakayo beats certificate kwenye hard news, kwenye habari ngumu unahitaji mtu aliyeenda shule vizuri na mwenye experience ya taaluma au kazi fulani, kwenye entertainments na udaku talent ndio inaweza kuwa muhimu zaidi.

Angalia waandishi wengi wa habari wa sasa hivi, grammar/sarufi ni sifuri, hawana tofauti ya L na R, kuuliza maswali hawawezi n.k wako wako tu.
Ndio inatakiwa iwe hivyo
Ukiangalia watangazaji wa CNN mfano unakuta ni mtangazaji wa michezo kasomea taaluma inayo endana na kazi yake hiyo
Edo kumwembe alikuwa mwandiahi wa michezo namsikia sehemu ana chambua hadi masuala ya siasa 😄
 
Sasa hao wenye majukumu wameshindwa kutoa hizo habari ? Narudia tena the industry has changed kuanzia ulaji wa habari hadi utafutaji na upatikanaji kwahio ni jukumu lako wewe mlaji kuweza kutafuta habari zenye authenticity..., Kwahio narudia tena muda / wakati / walaji vyote vimebadilika ndio maana nakwambia miaka kadhaa hapo nyuma neno Citizen Journalism lilikuwa halipo;
citizen journalism, journalism that is conducted by people who are not professional journalists but who disseminate information using Web sites, blogs, and social media.

Kwahio hata wewe unaweza ukawa Mwanahabari kuliko aliyepo huko TBC; na hata audience yako ikawa kubwa kuliko yao...
Citizen journalism chukulia kama dereva boda boda aliyejifunza pikipiki mtaani na anafanya kazi bila leseni, ni kweli anaweza kuwa mzuri pia kuliko boda mwenye leseni hadi pale atakapopata ajali.

Hata hivyo wakina baba levo, dida, mwijaku et al hawawakilishi citizen journalism.
 
Citizen journalism chukulia kama dereva boda boda aliyejifunza pikipiki mtaani na anafanya kazi bila leseni, ni kweli anaweza kuwa mzuri pia kuliko boda mwenye leseni.
Ndio hapo nakuja hauna Choice ?; Je Hakuna Sheria zinazolinda upotoshaji wa aina yoyote no matter Ueledi wako ? Kuna kipindi TBC ndio ilikuwa the only outlet sasa hivi huenda mainstream media zote audience yake ni ndogo sana hata kuzidiwa na online media za watu wa Jeshi la mtu mmoja (au kina Ayo et al)....

Sasa hivi kuna information overload ( na kila mtu anaweza kujichovyea mwenyewe) kwahio its up to wewe msikilizaji kuchagua unachotaka (utakipata) na kuchuja kila unachoambiwa (sababu 99 percent ni Fake News)...

This has nothing to do na mtu yoyote bali ni teknolojia imemuwezesha kila mtu kumfikia mtu yoyote duniani na habari yake.., sasa ili usikilizwe either tengeneza community inayokuamini, lenga niche audience au fanya marketing au wape kitu watu wanataka (hata zamani vilikuwepo vipindi vya mizaha); Mbaya zaidi hata unayewahoji wamekuwa ni watu wa vioja wasiojibu maswali bali kufanya diversion na kila unayemuhabarisha ni kwamba huenda hio news ameshaipata instantly kwahio wewe unafanya marudio...
 
Choice ipo kukiwa na sheria kutoka serikalini lazima uwe na taalumu ya uandishi wa habari

Mfano ukiangalia ligi ya epl wale pundit wote ni ex-player au coach ila tanzania pundit wengi hawajawahi kucheza mpira au kuwa kocha

Ukienda kwenye media zote kubwa duniani lazima uwe na taaluma ya uandishi wa habari, ukienda kwa wale wa-tv za online kwa nchi za western wote ni waandishi wa habari yaani wana-background ya uandishi wa habari

Milard ayo yule ni mwandishi wa habari anayo hiyo background ndo maana ameweza kufanikiwa
 
Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds

Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa mwandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius

Ruge mutahaba alitumia gharama kubwa sana kuondoa professionalism kwenye tasnia ya habari kwa kufikiria malengo ya mda mfupi na ku-ignore madhara ya mda mrefu ambayo tunayaona leo

Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.

Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi

Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana
Ni kweli japo wapumbav watakutukana kwa ufinyu wa fikra.
Wao wanatembelea kwenye dhana ya ubunifu
 
Sasa hapa
Choice ipo kukiwa na sheria kutoka serikalini lazima uwe na taalumu ya uandishi wa habari

Mfano ukiangalia ligi ya epl wale pundit wote ni ex-player au coach ila tanzania pundit wengi hawajawahi kucheza mpira au kuwa kocha

Ukienda kwenye media zote kubwa duniani lazima uwe na taaluma ya uandishi wa habari, ukienda kwa wale wa-tv za online kwa nchi za western wote ni waandishi wa habari yaani wana-background ya uandishi wa habari

Milard ayo yule ni mwandishi wa habari anayo hiyo background ndo maana ameweza kufanikiwa
Sasa hapa Bongo land mtu akiwa maarufu IG au X,kesho anafanywa reporter au mchambuzi,wakati huo huo hajui lolote kukusu maadili na miiko ya uandishi wa habari.

Kama taifa tunapaswa kuheshmu professionalism kwenye kada mbalimbali.
 
Choice ipo kukiwa na sheria kutoka serikalini lazima uwe na taalumu ya uandishi wa habari
Uwe na taaluma kufanya kazi wapi ? Kama wakisema wafanyakazi wote wa TBC na Serikali wawe na Taaluma fulani well and good ila wakisema kila anayefungua kituo kila anamleta aongee kwenye chombo chake (wengine ni freelancer au ni wageni au wasema hovyo) ambapo wateja wanapenda kusikiliza hovyo.., hio itakuwa a one step kufikia a police state; na State inaweza kutumia nyenzo hio kuziba watu midomo...

Nilichokwambia kama TBC na Redio kadhaa zina wanataaluma hukatazwi kuangalia hizo za wanataaluma..., pia news za sasa zinafanya kazi kama majadiliano (anaitwa mtu mwenye uelewa) alafu anahojiwa na kubalance the issue (wala hukatazwi kuandaa maswali kutoka kwa wasikilizaji ambao huenda kuna mwelewa zaidi wa a certain subject) vitu vipo live na kuna interactivity
Mfano ukiangalia ligi ya epl wale pundit wote ni ex-player au coach ila tanzania pundit wengi hawajawahi kucheza mpira au kuwa kocha
Moja aliyekwambia to speak good football ni sawa na kucheza au kujua kucheza ni nani ? Mbili kuna watu natural kwenye Tasnia (Lineker, Wright and the likes) kuna watu walikuwa wanasifika kuongea Pumba mfano Michael Owen sasa hivi amepewa aongee ongee Kuna watu kama Gaza ukiamua kuwaleta kwenye TV ni for a comedy factor sababu wanachoongea kwa kweli hakina tija...,
Ukienda kwenye media zote kubwa duniani lazima uwe na taaluma ya uandishi wa habari, ukienda kwa wale wa-tv za online kwa nchi za western wote ni waandishi wa habari yaani wana-background ya uandishi wa habari

Milard ayo yule ni mwandishi wa habari anayo hiyo background ndo maana ameweza kufanikiwa
Moja sio kwamba napinga knowledge.., knowledge is POWER..., tena hao ambao hawana vyeti ila wamefanya kazi miaka nenda rudi wana kitu ambacho fresh from school hana wala huenda asiweze kukipata..., pili likebility na social skills as well as kuweza kuelezea na charisma hio haipatikani shule bali ipo within

Mwisho kabisa umeanza kusema kwamba wengi wa sasa ni makanjanja na ndio wanaosikilizwa sasa unasema kwamba AYO ndio amefanikiwa pekee wakati hawa so called makanjanja ndio wenye audience kitaa ?!!! Je kuwa kwao kwenye TV namba A kunakataza hao so called wataalamu kuwepo kwenye TV C ?
 
Uwe na taaluma kufanya kazi wapi ? Kama wakisema wafanyakazi wote wa TBC na Serikali wawe na Taaluma fulani well and good ila wakisema kila anayefungua kituo kila anamleta aongee kwenye chombo chake (wengine ni freelancer au ni wageni au wasema hovyo) ambapo wateja wanapenda kusikiliza hovyo.., hio itakuwa a one step kufikia a police state; na State inaweza kutumia nyenzo hio kuziba watu midomo...

Nilichokwambia kama TBC na Redio kadhaa zina wanataaluma hukatazwi kuangalia hizo za wanataaluma..., pia news za sasa zinafanya kazi kama majadiliano (anaitwa mtu mwenye uelewa) alafu anahojiwa na kubalance the issue (wala hukatazwi kuandaa maswali kutoka kwa wasikilizaji ambao huenda kuna mwelewa zaidi wa a certain subject) vitu vipo live na kuna interactivity

Moja aliyekwambia to speak good football ni sawa na kucheza au kujua kucheza ni nani ? Mbili kuna watu natural kwenye Tasnia (Lineker, Wright and the likes) kuna watu walikuwa wanasifika kuongea Pumba mfano Michael Owen sasa hivi amepewa aongee ongee Kuna watu kama Gaza ukiamua kuwaleta kwenye TV ni for a comedy factor sababu wanachoongea kwa kweli hakina tija...,

Moja sio kwamba napinga knowledge.., knowledge is POWER..., tena hao ambao hawana vyeti ila wamefanya kazi miaka nenda rudi wana kitu ambacho fresh from school hana wala huenda asiweze kukipa..., pili likebility na social skills as well as kuweza kuelezea na charisma hio haipatikani shule bali ipo within

Mwisho kabisa umeanza kusema kwamba wengi wa sasa ni makanjanja na ndio wanaosikilizwa sasa unasema kwamba AYO ndio amefanikiwa pekee wakati hawa so called makanjanja ndio wenye audience kitaa ?!!! Je kuwa kwao kwenye TV namba A kunakataza hao so called wataalamu kuwepo kwenye TV C ?
Endelea kuamini kwenye ujinga na kuidharau elimu
Sisi wengine tutaendelea kuamini kwemye professionalism
Nchi iko hivi kwa asilimia kubwa kwa sababu hakuna profesionalism
 
Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds

Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa mwandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius

Ruge mutahaba alitumia gharama kubwa sana kuondoa professionalism kwenye tasnia ya habari kwa kufikiria malengo ya mda mfupi na ku-ignore madhara ya mda mrefu ambayo tunayaona leo

Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.

Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi

Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana

Asante Mpigania uhuru wa pili hiki kitu nimekiongea mara nyingi sana. Hatuna waandishi wa habari kwenye media zetu, wamejaa kina Mwijaku, Baba Levo na wengine wengi ambao hata hawajui nini maana ya uandishi wa habari. Ndio maana unaona kuna vipindi vya ajabu sana ukifungua redio zetu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni.
 
Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds

Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa mwandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius

Ruge mutahaba alitumia gharama kubwa sana kuondoa professionalism kwenye tasnia ya habari kwa kufikiria malengo ya mda mfupi na ku-ignore madhara ya mda mrefu ambayo tunayaona leo

Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.

Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi

Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana
Mzee Pascal Mayalla ...
 
Umemsahau Mwijaku baba la machawa.
 
Back
Top Bottom