Uwe na taaluma kufanya kazi wapi ? Kama wakisema wafanyakazi wote wa TBC na Serikali wawe na Taaluma fulani well and good ila wakisema kila anayefungua kituo kila anamleta aongee kwenye chombo chake (wengine ni freelancer au ni wageni au wasema hovyo) ambapo wateja wanapenda kusikiliza hovyo.., hio itakuwa a one step kufikia a police state; na State inaweza kutumia nyenzo hio kuziba watu midomo...
Nilichokwambia kama TBC na Redio kadhaa zina wanataaluma hukatazwi kuangalia hizo za wanataaluma..., pia news za sasa zinafanya kazi kama majadiliano (anaitwa mtu mwenye uelewa) alafu anahojiwa na kubalance the issue (wala hukatazwi kuandaa maswali kutoka kwa wasikilizaji ambao huenda kuna mwelewa zaidi wa a certain subject) vitu vipo live na kuna interactivity
Moja aliyekwambia to speak good football ni sawa na kucheza au kujua kucheza ni nani ? Mbili kuna watu natural kwenye Tasnia (Lineker, Wright and the likes) kuna watu walikuwa wanasifika kuongea Pumba mfano Michael Owen sasa hivi amepewa aongee ongee Kuna watu kama Gaza ukiamua kuwaleta kwenye TV ni for a comedy factor sababu wanachoongea kwa kweli hakina tija...,
Moja sio kwamba napinga knowledge.., knowledge is POWER..., tena hao ambao hawana vyeti ila wamefanya kazi miaka nenda rudi wana kitu ambacho fresh from school hana wala huenda asiweze kukipa..., pili likebility na social skills as well as kuweza kuelezea na charisma hio haipatikani shule bali ipo within
Mwisho kabisa umeanza kusema kwamba wengi wa sasa ni makanjanja na ndio wanaosikilizwa sasa unasema kwamba AYO ndio amefanikiwa pekee wakati hawa so called makanjanja ndio wenye audience kitaa ?!!! Je kuwa kwao kwenye TV namba A kunakataza hao so called wataalamu kuwepo kwenye TV C ?