RUGE tuamuangalie upande wa pili


Huu ni mtazamo duni sana. Yaani mtu ambaye anaishi bila kuoa au kuolewa anakua mhuni!!!!
Yesu hakuoa na Mtume Paulo wote hawa hawakuoa kwa sababu hiyo tuwaite wahuni? Si sawa.
Jiulize kwa nini wewe umeoa? Hayo mambo unayoyapata baada ya kuoa uwezi kuyapata ukiwa haujaoa...kama ni watoto Ruge Kawabata na kama ni burudani amekua akipata kama kawa.
Tofauti ni kwamba yeye aliamua kutofungamana na upande mmoja ambao ungemfanya awe mtumwa...[emoji2][emoji2]
 
Hizo ni miongoni mwa alama alizo tuachia marehemu Ruge.. "maneno yake"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazuri yake yawe mfano wa kuigwa kwetu, na mabaya yake yaachwe.. [emoji1311]hakuna binadamu mkamilifu
 
Ni wanaJF wachache wenye upeo wa kuzielewa hizi standards tulizojiwekea, ni kirusi kinachotutafuna.
 
Ulisoma kokote kuwa hao kwakutokuoa kwao walikua na wanawake kila kona na kuzalisha ovyo kama Labour ya muhimbili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeff bezzos CEO wa Amazon ndio tajiri namba moja duniani ana miaka 54 na yupo single na huyo ndio mfano wa kuigwa sasa kwenye jamii
Duuuu we jamaa wacha kuongea usilolijua,Jeff alikuwa na mke na watoto,sema juzijuzi ndio ndoa ilivunjika na wapo ktk harakati zakugawana Mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…